Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WEWE UNA TENDA MEMA??????? Tatzo lenu kila kitu mnageuza sisa as if HAO VIONGOZI WENU WAO WATALIONA PEPO....Wazee wapumzike wakumbuke kuwa maisha yana mwisho....
Wawe wanatenda mema wanaenda zao.......
...kuna kitu nataka sema... em nikae kimya kwanza..Dah
wanatembea sana aiseeee awamu hii, kulikoni??
Itabidi wakitoka Tabora wa divert kwenda Iringa.Sasa hapo wakubwa sijui wataenda msiba gani? Tabora au Iringa?
Sema tu mkuu....kuna kitu nataka sema... em nikae kimya kwanza..
Hii ni kawaida. Sema kwa sababu marehemu ni watu wanaojulikana.Hawa wazee kama taifa tunawahudumia vya kutosha kiafya?
Mbona mwaka huu wamefululiza kufa?
Mkulu si alisema ni Kenya?Sasa hapo wakubwa sijui wataenda msiba gani? Tabora au Iringa?
Kuna Miezi mingine kama huu Nov ya Mwaka huu haifai kabisa...