Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh! Mkuu umeeleweka.Rest in peace Mungai mzee wa physics with chemistry
why huna machozi?Daah, hata kulia sasa hatuwezi, R.I.P
Mh, kumbe wa long timeNinakumbuka hawa wazee kwenye moja ya mabaraza ya uwaziri awamu ya kwanza
wizara ya afya - Aaron Chiduo
" fedha- Amir Jamal
" elimu- Mama Thabita Siwale
" kilimo- Jackson Makweta
Tena nimekumbuka sheria alikuwa mama Julie Maning.Mh, kumbe wa long time