TANZIA Aliyekuwa Mbunge wa Mufindi na Waziri wa Elimu Awamu ya Tatu, Joseph Mungai afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Mbunge wa Mufindi na Waziri wa Elimu Awamu ya Tatu, Joseph Mungai afariki dunia

Polenu wafiwa, pumzika kwa amani ex waziri
 
Mpaka Leo nafikiri sana kwa nini Yule Nabii MAARUFU alikuja PEKU PEKU.

There is Next........ by LEMA
 
R.I.P Hon. Mungai tutakumbuka kwa mema uliyolifanyia taifa hili pamoja na kwamba ulkuwa mkenya ila ulijitahidi kuwa mzalendo nakuta kuiboresha elimu yetu kwa kuleta physic with chemistry
 
Rest in peace.... Hongera maana umefia katika kundi la ukombozi na sio kule kwa majangili!! Geti la peponi liko wazi kwako wahi ukaingie yule mwenzio wa jana aliikosa hii fursa!!
Wacha mchezo na Ziraili wewe
 
Duuuh! Kizazi chao kinaondoka kinatuacha vijana wakiwa. wazee ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa bado tunahitaji busara zao. RIP mungai.
 
LOWASSA bado yu hai?

Eeh Mungu tunakuomba neema ya Uhai na Uzima.

Sisi wanadamu tu mavumbi tu, yatupasa kutenda mema na kukumbuka hukumu zako.

Lowassa alishajibu kuwa : Kuishi ni neema tu, nami naafiki.
 
Wazee wapumzike wakumbuke kuwa maisha yana mwisho....

Wawe wanatenda mema wanaenda zao.......

Maana huyu ndiye aliua elimu yetu kwa kuchezea chemistry+ physics

Niwakumbushe tena wazee wengine waliobaki siri ya kuishi muda mrefu ni hekima na busara......

Ndio maana mwinyi anadunda pamoja na kuwa na miaka karibia 100......

But ...R.I.P.......
Haya ni makavu live, lkn mm na ww ni wazee wa kesho pia tutende mema
 
Back
Top Bottom