TANZIA Aliyekuwa Mbunge wa Mufindi na Waziri wa Elimu Awamu ya Tatu, Joseph Mungai afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Mbunge wa Mufindi na Waziri wa Elimu Awamu ya Tatu, Joseph Mungai afariki dunia

lowasa anahusikaje mkuu hapa

mwanae alikuwa ukawa na akampigia kampeni je? unajuaje kama hakuwa nae ukawa
UKAWA inahusikaje hapa?

Mwanae anahusikaje hapa?

Mimi nimemtaja mwanae au UKAWA?
 
Au ameshtushwa na ile habari mtu m1 alisema yeye ni mKenya!!...Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya marehemu mahala pema peponi
 
Mama Mungai na Mama Sitta waliwahi kuwa waalimu katika shule mmoja ya msingi Dar- hii coincidence!!!!!!!!
 
Kwa hali hii na ukizingatia kuna Unabii wa Lema lazima mahali flani kuna mtu amejawa hofu isiyo kawaida!

R.I.P Joseph Mungai
 
Sote tunaenda njia moja.....RIP Mungai
 
Kile kijiji chake pale mikocheni karibu na triple 7 kakiacha.da! Kweli tunapita
 
Back
Top Bottom