TANZIA Aliyekuwa Mbunge wa Mufindi na Waziri wa Elimu Awamu ya Tatu, Joseph Mungai afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Mbunge wa Mufindi na Waziri wa Elimu Awamu ya Tatu, Joseph Mungai afariki dunia

Mmh mi mwenyewe umeniacha hoi!!!utakuwa wa 70s
Mkuu kulikuwa na Tanzania Elimu Supply tulikuwa tunapanga foleni kununua vifaa vya shule wiki moja kabla ya shule kufunguliwa, duka lao lilikuwa Samora Avenue.
 
Ninakumbuka hawa wazee kwenye moja ya mabaraza ya uwaziri awamu ya kwanza
wizara ya afya - Aaron Chiduo
" fedha- Amir Jamal
" elimu- Mama Thabita Siwale
" kilimo- Jackson Makweta
Kweli umeonja chumvi!
 
Pumuzika kwa amani baba yetu.
Nchi na chama kimepoteza mutu makini. Rip
 
Duh kweli Umeondoka! RIP Mzee Mungai, nakumbuka last week Tuesday umetua kutoka Germany tu ukawa unatuchekesha reference ya Mzee Magufuli, leo hii eti haupo dah!!!! Raha ya milele uumpe eeh Bwana na Mwanga wa milele umwangazie apumzika kwa Amani, Amen.
 
RIP Marehemu wote na mwenyezi Mungu awape nguvu na subira wafiwa wote...Amen
 
Back
Top Bottom