TANZIA Aliyekuwa Mbunge wa Mufindi na Waziri wa Elimu Awamu ya Tatu, Joseph Mungai afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Mbunge wa Mufindi na Waziri wa Elimu Awamu ya Tatu, Joseph Mungai afariki dunia

R. I. P
Simanzi kweli, maana tunachanganya na [HASHTAG]#ukosefu[/HASHTAG] wa Ajira basi Tz imekua Chungu km ndimu
 
Wazee wapumzike wakumbuke kuwa maisha yana mwisho....

Wawe wanatenda mema wanaenda zao.......

Maana huyu ndiye aliua elimu yetu kwa kuchezea chemistry+ physics

Niwakumbushe tena wazee wengine waliobaki siri ya kuishi muda mrefu ni hekima na busara......

Ndio maana mwinyi anadunda pamoja na kuwa na miaka karibia 100......

But ...R.I.P.......
Wakati mwingine kabla hujaandika omba Mungu akupe hekima
 
Wazee wapumzike wakumbuke kuwa maisha yana mwisho....

Wawe wanatenda mema wanaenda zao.......

Maana huyu ndiye aliua elimu yetu kwa kuchezea chemistry+ physics

Niwakumbushe tena wazee wengine waliobaki siri ya kuishi muda mrefu ni hekima na busara......

Ndio maana mwinyi anadunda pamoja na kuwa na miaka karibia 100......

But ...R.I.P.......
Moja ya comment mbovu kabisa....inayohusu msiba.

RIP Mungai
 
Hiki ni nn jameni kule Zanzibar misiba huku pia misiba duh
 
Duh!, kazi ya Mungu haina makosa
Poleni watanzania.
 
Daa Lowasa huyu jamani ni balaa, manake na marehemu atakuwa alimsema Edward tu cyo hivi hivi. Mungu hadhihakiwi jamani!! Au ntakuwa nimekosea!? Sisi tupo nyuma yako tunakuja huko mzee wetu Mungai,duniani sisi wote ni wapitaji tu, iwe tumemsema au hatujamsema mzee edward kwani muda utafika na yeye atakuja huko kwa kuwa yeye si Muumba!!!
 
Pollen sana Ndugu jamaaa na watanzania wote. Mungu amlaze mahali pema pepon
 
Back
Top Bottom