Nccr siku hizi kulikoni,au Yale majimbo 15 yameota mbawa,asieijua ccm akamuulize mrema na tlp,au le profesele
Ikulu zipo nyingi hapa nilipo penyewe ni ikulu labda ni ikulu hizi kama zangu unaongeleaMembe ikulu yake mwaka huu
Kuhusu jokate kugombea unaniulizaje Mimi Mkuu? Halafu muda wa kuchukua fomu kwa CCM umeshaisha. Labda huko CDM sijui muda wa Viti Maalum kuchukua fomu unaisha lini au tunasubiria maelekezo ya Mwenyekiti.Mh. Jokate Yeye atagombea wapi mkuu?
Kwa hii Ccm hata muwe na tume kama Iebc ya Kenya lazima mpigwe tu. Maana huu sio utekelezaji wa ilani bali ni utumishi uliotukukaNane ni wachache mno, inatakiwa waondoke wote. Wapiga kura tunaojitambua shida yetu ni tume huru ya uchaguzi. Baada ya hiyo kupatikana ndio tutarudi kuangalia nani anataka kugombea, na kwanini anahama.
Shetani Hana rafiki,kina sokombi walioandikiwa barua sijui Wana Hali gani, kwann watu huwa vipofu kwa Mambo ya wazi kabisa,check le profesele cuf imemfia kwa tamaa ya Bigii leo mutungi si swahiba tena.Ccm wamegundua Mbatia hana mvuto, hivyo wamebadili terms mpaka Mbatia kazira. Ndio maana hata Mbatia hakuhudhuria mkutano wa ccm.
Wanaogopa nn Sasa si washalamba Chao, waondoke ili safu mpya underground upcoming wazibe pengo.Walishaondoka, wanasubiri kutangaza tu.
Kwa hii Ccm hata muwe na tume kama Iebc ya Kenya lazima mpigwe tu. Maana huu sio utekelezaji wa ilani bali ni utumishi uliotukuka
Amemfata mamvi ,ila ameona asiende moja kwa moja ajifiche kwanza mvua kibarazani kwa ActNaamini Kubenea ana kitu kinamsumbua japo hajawa muwazi, maana nikijaribu kutafakari amekuwa akihusishwa na tuhuma za usaliti na hata kuhama chama mara kadhaa na kuna siku aliitisha press conference ikihusishwa na kutangaza kuhama chama japo alibadili gia angani.
Ila imekuwa tofauti na matarajio ya kuhama kwake maana alitarajiwa kuhamia CCM kuunga juhudi ama NCCR-Mageuzi baada ya kugain momentum lakini ameshangaza kuhamia ACT-Wazalendo.
Ameonekana mara kadhaa kupoteza imani ndani ya Chadema na kuonekana hana raha wala amani huko ndani. Nadhani Kubenea ana kitu ambacho hakiko sawa ila amekuwa akijistahi sana kuelezea umma.
Manunuzi yapo ccm bwasheeatakuwa amenunuliwa huyu
Na hapa ndipo penye tatizo kuu la kuwaondoa CCM lilipo lalia.Tuliyajua haya kuwa yanakuja.
Sasa mnakuwa paranoid. Paranoia hiyo inaweza kuwaharibia sana. Kubenea ameandamwa kila siku na shutma za usaliti bila yeyote kujitokeza kumtetea. Amehama bila kumtukana mtu sasa mnageukia chama alichohamia kuwa kinabebwa na CCM. Ukweli ni kuwa upinzani sio Chadema peke yake na hivyo kinatakiwa kikubali kuishi na vyama vingine vya upinzani na hata wanachama wake ambao wana mawazo tofauti na uongozi.Ccm wamegundua Mbatia hana mvuto, hivyo wamebadili terms mpaka Mbatia kazira. Ndio maana hata Mbatia hakuhudhuria mkutano wa ccm.
Sasa mnakuwa paranoid. Paranoia hiyo inaweza kuwaharibia sana. Kubenea ameandamwa kila siku na shutma za usaliti bila yeyote kujitokeza kumtetea. Amehama bila kumtukana mtu sasa mnageukia chama alichohamia kuwa kinabebwa na CCM. Ukweli ni kuwa upinzani sio Chadema peke yake na hivyo kinatakiwa kikubali kuishi na vyama vingine vya upinzani na hata wanachama wake ambao wana mawazo tofauti na uongozi.
Amandla...
Shida yenu ni kuwa wote mnatuona wajinga. Kwa kusema kuwa Mbatia ( ambae siku zote mnadai kuwa anatumika na CCM) amekosa mvuto una imply kuwa mbadala wake ni chama ambacho Kubenea amehamia. Sasa kama CUF, NCCR na sasa ACT Wazalendo wote ni vibaraka wa CCM basi ina maana mnadhani kuwa mwenye copyright ya kuwa mpinzani ni CHADEMA peke yake. Huo ni upuuzi mtupu. Waacheni wanaohama wahamie kokote wanakotaka bila ku insinuate kuwa wanatumiwa na Chama Tawala.Kubenea kahamia NCCR? Au umeivaa hii mada kichwa kichwa baada ya kunywa vibia viwili kwenye kigrocery cha mangi?
Shida yenu ni kuwa wote mnatuona wajinga. Kwa kusema kuwa Mbatia ( ambae siku zote mnadai kuwa anatumika na CCM) amekosa mvuto una imply kuwa mbadala wake ni chama ambacho Kubenea amehamia. Sasa kama CUF, NCCR na sasa ACT Wazalendo wote ni vibaraka wa CCM basi ina maana mnadhani kuwa mwenye copyright ya kuwa mpinzani ni CHADEMA peke yake. Huo ni upuuzi mtupu. Waacheni wanaohama wahamie kokote wanakotaka bila ku insinuate kuwa wanatumiwa na Chama Tawala.
Amandla...