Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na ACT-Wazalendo

Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na ACT-Wazalendo

Mkuu acha tu!
Gazeti la mwanahalisi ilikuwa lazima litoke na picha ya lowasa na rostam,
Hata ile kumwagiwa tindikali ilikuwa sababu ya kuwasakama hiyo miamba.
Baadae aligeuka akaanza kumsakama Zitto, lakini wote hao wamemugeuzia kipigo tena kinacho uma sana hasa pale Lowasa alipoenda chadema kubenea alipata aibu na kuishi kwa unyonge sana.

Hata huko kwa Zitto itabidi aishi kama popo maana kwa jinsi alivyomfanyia Zitto kipindi kile hataishi kwa imani.

Zitto mimi nampendea hapo tu alivyoacha karma ifanye kazi na sasa anawachachafya chadema kama kuwageuza samaki jikoni vile. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Zitto ni noma sana CCM wanamkubali kinyama,alivyoiandikia barua WB wasitoe mkopo mpk serikali itakaporuhusu wanafunzi wenye ujauzito waruhusiwe kuendelea kusoma pale bungeni nilimuona kampeni Manager wa Magu 2015 ambae pia ni baba mkwe wa Zitto(kwa bintie halima) akisema zitto apotezwe/auwawe huku wana Ccm wakiongozwa na Mchungaji mama Rwakatare wakishangilia saana.

Na Leo wana CCM wako hapa wakimsifu Zitto, Kweli Zitto ni noma sana kwa 100%.
 
Huyu ndiye aliongoza mbio za kumchafua Lowassa halafu akaja kula matapishi yake
 
Dah.....siasa noma sana aisee! Na jinsi alivyokuwa anamwandika ZZK.....ngoja tuone.
 
Anagombea ubunge tena Ubungo? He should better save and invest his retirement package kwa vitu vingine. Ubungo huyu hana nafasi. Hata 2015 alibebwa zaidi na CHAMA
 
Huko CHADEMA kutakuwa na mtanziko,maana inaonekana kuna Viongozi wa Kitaifa hawataki ushauri kutoka Viongozi ngazi ya Wilaya/Kanda.
Kuna jamaa mmoja alikuwa mwenezi wa Wilaya/Mkoa amehama baada ya kuona kila hoja akiziwasilisha hazifanyiwi kazi.Ameshabwaga manyanga na kuhamia kwingine siyo CCM lakini.
 
Nccr siku hizi kulikoni,au Yale majimbo 15 yameota mbawa,asieijua ccm akamuulize mrema na tlp,au le profesele
Mrema alipopewa kile cheo danganya toto cha NAIBU Waziri Mkuu jamaa wakamdhulumu mafao yake alipokomaa nao CCM wakamwambia hebu tuonyeshe hicho cheo kiko wapi kwny katiba ya Jamhuri ya Tz?Daah hapo ndipo Mrema akagundua ameshatapeliwa tayari.
 
Ni muda wa kujiuliza kwanini mliyajua na kwanini yanakuja maana kubenea kafanya mengi kupitia gazeti lake hadi kumwagiwa tindikali
Kwani chadema hajimfanyia mengi?amekuwa mbunge kwa sababu ya chadema
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Na bado kuna waliokuwa wabunge Chadema kama nane wanahama kesho.

Nane ni wachache mno, inatakiwa waondoke wote. Wapiga kura tunaojitambua shida yetu ni tume huru ya uchaguzi. Baada ya hiyo kupatikana ndio tutarudi kuangalia nani anataka kugombea, na kwanini anahama.
 
Back
Top Bottom