Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Hapo sasa ndipo utashangaa walimwenuYani nyinyi mtu akihama bila kumtukana Mbowe hamridhiki..
Nafikiri anajua kwenye siasa unatakiwa kuwa na akiba ya maneno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa ndipo utashangaa walimwenuYani nyinyi mtu akihama bila kumtukana Mbowe hamridhiki..
Nafikiri anajua kwenye siasa unatakiwa kuwa na akiba ya maneno.
Shauri lenuKuhusu the so-called "wakubwa" kuigopa CDM sijui na wala sijui wanapopatikana.
"lenu" kina nani?Shauri lenu
Zitto ni noma sana CCM wanamkubali kinyama,alivyoiandikia barua WB wasitoe mkopo mpk serikali itakaporuhusu wanafunzi wenye ujauzito waruhusiwe kuendelea kusoma pale bungeni nilimuona kampeni Manager wa Magu 2015 ambae pia ni baba mkwe wa Zitto(kwa bintie halima) akisema zitto apotezwe/auwawe huku wana Ccm wakiongozwa na Mchungaji mama Rwakatare wakishangilia saana.Mkuu acha tu!
Gazeti la mwanahalisi ilikuwa lazima litoke na picha ya lowasa na rostam,
Hata ile kumwagiwa tindikali ilikuwa sababu ya kuwasakama hiyo miamba.
Baadae aligeuka akaanza kumsakama Zitto, lakini wote hao wamemugeuzia kipigo tena kinacho uma sana hasa pale Lowasa alipoenda chadema kubenea alipata aibu na kuishi kwa unyonge sana.
Hata huko kwa Zitto itabidi aishi kama popo maana kwa jinsi alivyomfanyia Zitto kipindi kile hataishi kwa imani.
Zitto mimi nampendea hapo tu alivyoacha karma ifanye kazi na sasa anawachachafya chadema kama kuwageuza samaki jikoni vile. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Alikua anasubiri pensheni kwanzaWhy wanachelewa waondoke mapema wasizibe nafasi.
Nccr siku hizi kulikoni, au Yale majimbo 15 yameota mbawa, asieijua CCM akamuulize Mrema na TPL, au le profeseleMuache aende
Kamkimbia Mayor Jacob kwa vyovyote vile asingepita kwenye mchujo mbele ya mayor JacobKumekucha,ila safari hii ubunge hapati.
Mrema alipopewa kile cheo danganya toto cha NAIBU Waziri Mkuu jamaa wakamdhulumu mafao yake alipokomaa nao CCM wakamwambia hebu tuonyeshe hicho cheo kiko wapi kwny katiba ya Jamhuri ya Tz?Daah hapo ndipo Mrema akagundua ameshatapeliwa tayari.Nccr siku hizi kulikoni,au Yale majimbo 15 yameota mbawa,asieijua ccm akamuulize mrema na tlp,au le profesele
Kwani chadema hajimfanyia mengi?amekuwa mbunge kwa sababu ya chademaNi muda wa kujiuliza kwanini mliyajua na kwanini yanakuja maana kubenea kafanya mengi kupitia gazeti lake hadi kumwagiwa tindikali
Soma katikati ya mistariKwani chadema hajimfanyia mengi?amekuwa mbunge kwa sababu ya chadema
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Na bado kuna waliokuwa wabunge Chadema kama nane wanahama kesho.