Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na ACT-Wazalendo

Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na ACT-Wazalendo

Watu wa dini hii wanaamini ACT wazalendo ni ya watu wa kofia ijumaa.. hata membe inasemekana jina lake halisi sio bwrnard.
Khabari wakuu, natumaini wote ni wazima wa afya.
Lengo la uzi huu ni kutaka kujua sababu gani zilizomfanya mbunge aliyemaliza muda wake katika chama Cha demokrasia na maendeleo- chadema KUBENEA kukihama chama hicho siku ya leo tarehe 18, Julai 2020 na kujiunga na chama Cha ACT-wazalendo.
Maoni yenu wakuu.
 
Sasa Kubenea anaweza pambana na yule meya “Savimbi”? Ilikua lazima aweke mpira kwapani[emoji1787]
 
Alisema kaacana na siasa ndiyo maana hujamsikia akigombea. Yes kwa kiasi flani alikuwa sawa maana choo baada ya kutapakaza harufu kikarudi chooni na kuflashiwa
Hahah Kwamba waliomteua Slaa wenyewe wana belong wapi?Chooni au Sebuleni
 
Hahah Kwamba waliomteua Slaa wenyewe wana belong wapi?Chooni au Sebuleni
Yes, na ndiyo maana nawashangaa wapinzani kuwa wanapokea vilivyotoka huko bila kuchukua muda wanawapa nafasi kubwa na kuacha watu waliopiania chama.

At least Lazaro hakufukuzwa aliondoka mwenyewe, na hakugombea nafasi kwa kipindi kirefu siyo kama hao wengine ambao wanakatwa ndiyo wanakimbilia upinzani. Huwezi sema watu kama hao wana mapenzi mema na chama ni kwamba wanatafuta maslahi na wakibanwa speed wanarudi walikotoka.
 
Vipi Yule mzinzi anayemtafuna DC,kisarawe
Itakuwa vizuri ukimtafuta maana mimi siyo mmiliki wa danguro. Kuteua mahawara kushika ubunge wa viti maalum nadhani mara hii wamejifunza maana mwisho wa siku wamechukua kiinua mgongo wakarudi CCM.
 
Yes, na ndiyo maana nawashangaa wapinzani kuwa wanapokea vilivyotoka huko bila kuchukua muda wanawapa nafasi kubwa na kuacha watu waliopiania chama. At least Lazaro hakufukuzwa aliondoka mwenyewe, na hakugombea nafasi kwa kipindi kirefu siyo kama hao wengine ambao wanakatwa ndiyo wanakimbilia upinzani. Huwezi sema watu kama hao wana mapenzi mema na chama ni kwamba wanatafuta maslahi na wakibanwa speed wanarudi walikotoka.
Hahah nimeuliza swali rahisi tu boss,waliomteua Slaa kwny Cheo alichonancho sasa wenyewe wana belong wapi?Chooni au Sebuleni?
 
Hahah nimeuliza swali rahisi tu boss,waliomteua Slaa kwny Cheo alichonancho sasa wenyewe wana belong wapi?Chooni au Sebuleni?
Chooni tu ndiyo maana toka awali nimesema niligundua vyama vyote ni sawa tofauti yake CCM ni chama tawala vilivyobaki ni vyama pinzani
 
CHooni tu ndiyo maana toka awali nimesema niligundua vyama vyote ni sawa tofauti yake CCM ni chama tawala vilivyobaki ni vyama pinzani
No doubt on that, wanasiasa ni Crooks & Hooligans.

Uongo ndio kula yao, so naunga mkono hoja.
 
Nakumbuka jamaa alivyokuwa anamshambulia Zitto kuhusu ukaribu wake na Jack Zoka. Tuhuma juu ya Zitto kuwa msaliti nk.

Leo wako pamoja.
Huwa nashangaa vikaragosi kadhaa humu vinapojipinda kuwatetea viongozi wa chadema, halafu wakigeukwa, wanaanza kulia lia
 
Naamini Kubenea ana kitu kinamsumbua japo hajawa muwazi, maana nikijaribu kutafakari amekuwa akihusishwa na tuhuma za usaliti na hata kuhama chama mara kadhaa na kuna siku aliitisha press conference ikihusishwa na kutangaza kuhama chama japo alibadili gia angani.

Ila imekuwa tofauti na matarajio ya kuhama kwake maana alitarajiwa kuhamia CCM kuunga juhudi ama NCCR-Mageuzi baada ya kugain momentum lakini ameshangaza kuhamia ACT-Wazalendo.

Ameonekana mara kadhaa kupoteza imani ndani ya Chadema na kuonekana hana raha wala amani huko ndani. Nadhani Kubenea ana kitu ambacho hakiko sawa ila amekuwa akijistahi sana kuelezea umma.
Ukiwa msaliti na ukajulikana ni mara chache sana kuishii kwa amani, nchi nyingine unapotezwa kabisa.
 
Lakini mbona wakubwa wenzio huko bado wanaiogopa mno CHADEMA na hasa mahitaji ya uwepo wa TUME HURU?
Basi enenda ukawapatie hizo 'taarifa njema' za kutia moyo, ili waweze kupata japo lepe la usingizi.
Kuhusu the so-called "wakubwa" kuigopa CDM sijui na wala sijui wanapopatikana.
 
Enzi hizo hakuna siku mwanahalisi lilitoka bila ya kumchana Zitto. Leo kaenda kwa Zitto
Mkuu acha tu!
Gazeti la mwanahalisi ilikuwa lazima litoke na picha ya Lowasa na Rostam,
Hata ile kumwagiwa Tindikali ilikuwa sababu ya kuwasakama hiyo miamba.
Baadae aligeuka akaanza kumsakama Zitto, lakini wote hao wamemugeuzia kipigo tena kinacho uma sana hasa pale Lowasa alipoenda chadema Kubenea alipata aibu na kuishi kwa unyonge sana.

Hata huko kwa Zitto itabidi aishi kama popo maana kwa jinsi alivyomfanyia Zitto kipindi kile hataishi kwa imani.

Zitto mimi nampendea hapo tu alivyoacha karma ifanye kazi na sasa anawachachafya chadema kama kuwageuza samaki jikoni vile. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni muda wa kujiuliza kwanini mliyajua na kwanini yanakuja maana Kubenea kafanya mengi kupitia gazeti lake hadi kumwagiwa tindikali
Kumwagiwa tindikali ilikuwa kabla ya kujiunga chadema
 
KumwKumwagiwa tindi ilikuwa kabla ya kujiunga chadema
Alimwagiwa tindikali kwakuandika habari nyingi za ndani zinazohusu serikali na ilikuwa wazi alikuwa anaunga mkono harakati za chadema. Siyo lazima uwe mbunge ili kuwa mwanachama wa chama flani
 
Naamini Kubenea ana kitu kinamsumbua japo hajawa muwazi, maana nikijaribu kutafakari amekuwa akihusishwa na tuhuma za usaliti na hata kuhama chama mara kadhaa na kuna siku aliitisha press conference ikihusishwa na kutangaza kuhama chama japo alibadili gia angani.

Ila imekuwa tofauti na matarajio ya kuhama kwake maana alitarajiwa kuhamia CCM kuunga juhudi ama NCCR-Mageuzi baada ya kugain momentum lakini ameshangaza kuhamia ACT-Wazalendo.

Ameonekana mara kadhaa kupoteza imani ndani ya Chadema na kuonekana hana raha wala amani huko ndani. Nadhani Kubenea ana kitu ambacho hakiko sawa ila amekuwa akijistahi sana kuelezea umma.
Yani nyinyi mtu akihama bila kumtukana Mbowe hamridhiki..
Nafikiri anajua kwenye siasa unatakiwa kuwa na akiba ya maneno.
 
Back
Top Bottom