Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Watu wa dini hii wanaamini ACT wazalendo ni ya watu wa kofia ijumaa.. hata membe inasemekana jina lake halisi sio bwrnard.
Khabari wakuu, natumaini wote ni wazima wa afya.
Lengo la uzi huu ni kutaka kujua sababu gani zilizomfanya mbunge aliyemaliza muda wake katika chama Cha demokrasia na maendeleo- chadema KUBENEA kukihama chama hicho siku ya leo tarehe 18, Julai 2020 na kujiunga na chama Cha ACT-wazalendo.
Maoni yenu wakuu.