Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na ACT-Wazalendo

Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na ACT-Wazalendo

Chadema alihoji sana ruzuku zinatumikaje, na wabunge kukatwa fedha zao kila mwezi kwa jina la katiba ya kinyonyaji ya Chadema, na alipinga Mwenyekiti kugombea yeye tu miaka yote mtu mmoja tu, ndio alipoanza kuondoka Chadema, na akajua kumbe Chadema ni mradi wa mtu binafsi, hasa pale Sumaye alipoambiwa sumu haionywi baada ya kutaka kugombea uenyekiti, akigombea ubunge kupitia ACT uwezekano wa kushinda Ubungo ni mkubwa kuliko Chadema kwa sasa.
Sumaye amepewa uenyekiti wa Chadema halafu mara paaap kaunga mkono juhudi kama alivofanya, hapo kunakua na Chama au uhuni?

Sumaye yeye uwezo wake wa kuongoza ulikua unaishia kua mwenyekiti wa Chadema kanda ya Pwani tu, Uenyekiti wa Taifa hakua na uwezo nao.
 
Secret mission kumfanyia ujasusi membe katika harakati zake za kuitaka ikulu.
.anaenda kama pandikizi LA jiwe kule uzalendoni.
Khabari wakuu, natumaini wote ni wazima wa afya.
Lengo la uzi huu ni kutaka kujua sababu gani zilizomfanya mbunge aliyemaliza muda wake katika chama Cha demokrasia na maendeleo- chadema KUBENEA kukihama chama hicho siku ya leo tarehe 18, Julai 2020 na kujiunga na chama Cha AICT-wazalendo.
Maoni yenu wakuu.
 
Apana , unakosea kabisa, mbona haumujitahidi kusema ukweli. Chadema kinapoteza mueleko kwa sababu ya kiongozi mkuu MBOWE na Genge lake. Hawa ni madkteta, Wakabila, wakanda, wamimi.

Hakubali kukosolewa na wala kushauriwa. Endeleeni kujenga hiyo MILIKI ya Mtei and Company
ITATEGEMEA NIMEAMKAJE-Mwenyekiti CCM Taifa.
 
Ccm mlikua mnasema Dr. Slaa anatembea kama amejinyea lkn leo amekua mpiganaji.
Sijawai kuwa CCM mimi nilikuwa naikubali CHADEMA sana enzi za akina Slaa ni chadema iliyokuwa inaniaminisa kuwa kuna mabadiliko ya kweli yanakuja. Baada ya hapo nikaja kuundua kuwa vyama vyote sawa tu tofauti yake CCM ni chama tawala na vilivyobaki vinajulikana kama pinzani
 
Apana , unakosea kabisa, mbona haumujitahidi kusema ukweli. Chadema kinapoteza mueleko kwa sababu ya kiongozi mkuu MBOWE na Genge lake. Hawa ni madkteta, Wakabila, wakanda, wamimi.

Hakubali kukosolewa na wala kushauriwa. Endeleeni kujenga hiyo MILIKI ya Mtei and Company
Tafuta mapya tuhuma za aina zitakufanya ukosane bure, na yesu wa Burigi
 
Sijawai kuwa CCM mimi nilikuwa naikubali CHADEMA sana enzi za akina Slaa ni chadema iliyokuwa inaniaminisa kuwa kuna mabadiliko ya kweli yanakuja. Baada ya hapo nikaja kuundua kuwa vyama vyote sawa tu tofauti yake CCM ni chama tawala na vilivyobaki vinajulikana kama pinzani
Choo kilitolewa chooni kikaletwa sebuleni-Dr. Slaa 2015

Sasa hivi Slaa mwenyewe sijui yuko Chooni au Sebuleni?
 
Choo kilitolewa chooni kikaletwa sebuleni-Dr. Slaa 2015

Sasa hivi Slaa mwenyewe sijui yuko Chooni au Sebuleni?
Alisema kaachana na siasa ndiyo maana hujamsikia akigombea. Yes kwa kiasi fulani alikuwa sawa maana choo baada ya kutapakaza harufu kikarudi chooni na kuflashiwa
 
Back
Top Bottom