mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Sumaye amepewa uenyekiti wa Chadema halafu mara paaap kaunga mkono juhudi kama alivofanya, hapo kunakua na Chama au uhuni?Chadema alihoji sana ruzuku zinatumikaje, na wabunge kukatwa fedha zao kila mwezi kwa jina la katiba ya kinyonyaji ya Chadema, na alipinga Mwenyekiti kugombea yeye tu miaka yote mtu mmoja tu, ndio alipoanza kuondoka Chadema, na akajua kumbe Chadema ni mradi wa mtu binafsi, hasa pale Sumaye alipoambiwa sumu haionywi baada ya kutaka kugombea uenyekiti, akigombea ubunge kupitia ACT uwezekano wa kushinda Ubungo ni mkubwa kuliko Chadema kwa sasa.
Sumaye yeye uwezo wake wa kuongoza ulikua unaishia kua mwenyekiti wa Chadema kanda ya Pwani tu, Uenyekiti wa Taifa hakua na uwezo nao.