Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
All the bestSababu za kuhama?
Kubenea kakumbuka kazi ya kupiga debe Magomeni...Ahsante kwa huduma, sasa ni muda wa Jacob
Kabisa mkuu! Leo Mbowe haaamini kama yule Zitto aliemtimua kama kibaka na kuagiza wafuasi wake mitandaoni wamtukane watakavyo ndio anaenda kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeniZittoni noma sana CCM wanamkubali kinyama,alivyoiandikia barua WB wasitoe mkopo mpk serikali itakaporuhusu wanafunzi wenye ujauzito waruhusiwe kuendelea kusoma pale bungeni nilimuona kampeni Manager wa Magu 2015 ambae pia ni baba mkwe wa Zitto(kwa bintie halima) akisema zitto apotezwe/auwawe huku wana Ccm wakiongozwa na Mchungaji mama Rwakatare wakishangilia saana.
Na Leo wana CCM wako hapa wakimsifu Zitto,Kweli Zitto ni noma sana kwa 100%.
Hamna cha hoja mfu. Umeweka post yako katika public platform na itajibiwa kama ilivyoeleweka. Kama ulishindwa kupanga hoja yako hilo ni tatizo lako. Kama unaona haujaeleweka, too ufafanuzi labda utaeleweka. Kutumia lugha za kibabe na kejeli hazisaidii kitu. Na huna ubavu wa kunizuia mimi au mjinga mwingine kama mimi kujibu post yako kwa jinsi tulivyoielewa. Kama hauwezi kuifafanua basi bora ukae kimya kuliko kujaribu kuninyamazisha.Usitake kunilisha maneno tafadhali, naona unanitajia vyama kibao ili kutaka kunitoa kwenye nilichosema. Umeivaa post yangu kichwa kichwa, naona saa hii unataka kulazimisha hoja zako mfu. Kaa kushoto pls.
Kwa nini asingejiunga sasa hivi ambako kuna uwezekano mkubwa zaidi wa kurudi bungeni kupitia CCM kuliko ACT? Anasubiri uchaguzi upite ndio ajiunge CCM?Soon atakuwa CCM huyu
Tuliyajua haya kuwa yanakuja.
Soon atakuwa CCM huyu, ACT kaenda kwa kazi maalumu ya ku-monitor mikakati ya Membe dhdi ya serikali. ACT kuweni makini jifunzeni kwa Chadema kuingiza masalia mpaka chumbani hasa kipindi hiki ni hatar kwa usalama wa chama chenu.
Kabisa mzee baba, huku wana CCM wakipanga kumuua kabisa wakiongozwa na yule chalii wa Uvccm aliyesema wamuue Zitto na akapandishwa kua mkuu wa wilaya.Kabisa mkuu! Leo Mbowe haaamini kama yule Zitto aliemtimua kama kibaka na kuagiza wafuasi wake mitandaoni wamtukane watakavyo ndio anaenda kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni
Wapinzani wengi hawaelewekiNaanza kuamini kuwa tuna chama cha siasa kimoja tu hapa Tz. Hivi vingine ni matawi ya chama tawala tu.
Mh. Mama Kairuki ye atagombea jimbo gani mkuu.?Kuhusu jokate kugombea unaniulizaje Mimi Mkuu? Halafu muda wa kuchukua fomu kwa CCM umeshaisha. Labda huko CDM sijui muda wa Viti Maalum kuchukua fomu unaisha lini au tunasubiria maelekezo ya Mwenyekiti.