Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Meya Arusha, Kalist Lazaro achukua fomu kuwania Ubunge Arusha Mjini

Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Meya Arusha, Kalist Lazaro achukua fomu kuwania Ubunge Arusha Mjini

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha Kalist Lazaro, leo Julai 14, 2020 amejitokeza katika ofisi za CCM wilaya ya Arusha kuchukua fomu za kuwania ubunge jimbo la Arusha mjini.

Kalist.jpg
 
Huyu mpuuzi hana hata aibu
Huyu alifanya kazi nzuri Sana alipokuwa mayor. Kwenye maswala ya maendeleo aliweka itikadi zake pembeni. Anajiamini, Kama akipewa ridhaa na chama chake anaweza kabisa
 
Huyu jamaa mwenyekiti wa CCM anamkubali sana ,si ajabu akapitishwa kugombea.Kuliko yule anayeonga wajumbe.Maana kushinda kwenye kura zamaoni si kigezo cha kuchaguliwa kuwakilisha jimbo
 
Aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha Kalist Lazaro, leo Julai 14, 2020 amejitokeza katika ofisi za CCM wilaya ya Arusha kuchukua fomu za kuwania ubunge jimbo la Arusha mjini.

Trust me, Arusha looks interesting to me....

Lema will eat all these pussies for breakfast, lunch and dinner!
 
CCM asilia wapo au ni hawa wapya tu wanaoata coverage?!
 
Bado Kamanda Shana na aliyekuwa mkuu wa wilaya hapo Arusha nao wachukue fomu za kugombea ubunge jimbo la Arusha.
 
Back
Top Bottom