Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Meya Arusha, Kalist Lazaro achukua fomu kuwania Ubunge Arusha Mjini

Arusha CCM foleni ndefu sana. Hapo bora Mwenyekiti wa Chama aibule na jiba lake kutokea kwenye mfuko wa koti. Tupa kule Kalist, Gambo na wahuni wote wale
 
Lema arudie ile kazi yake ya zamani...hana issue hapa mjini anatuletea njaa tu..halafu mkabila yule mp##zi top layer ya uongozi wa chadema Arusha kawajazana ndugu ...utafikiri hakuna watu wengine...harakati zake apeleke machame
 
Amefanya nini cha maana?
Bro alipokuwa kwetu tulimpongeza kwa kazi nzuri, mapato ya halmashauri yalipaa kwa usimamizi bora.
Tumhukumu kwa usaliti na sio utendaji
 
Lema arudie ile kazi yake ya zamani...hana issue hapa mjini anatuletea njaa tu..halafu mkabila yule mp##zi top layer ya uongozi wa chadema Arusha kawajazana ndugu ...utafikiri hakuna watu wengine...harakati zake apeleke machame
Lazima awapige miti.
 
Lema is an old Story in A city ...
Lema will rape all of you in the broad day light!

Lema is no joke mzee....He is the Michael Jordan of politics!

He will out perform all of you,right up!

Labda mumfunge kabisa au mmuue kabisa!

Otherwise,no one can stand with him pound for pound!
 
Utashangaa ccm tunampa nafasi mtu kama huyu... walitusumbua sana hawa uchaguzi wa 2015
 
Kwahiyo mkurugenzi amtangaze lema sio?
Wananchi zaidi ya 3,000 wapo nje ya kituo wamenyanyua mapanga juu...

Mkurugenzi amtaje nani zaidi,kama sio Lema?

Hapo polisi hasaidii wala ,mawe hayupo maana na yeye atakua chini ya uvungu anapambana na hali yake!
 
Bwege.jpg

Hivi hii Takataka ilimezwaga na nini?
 
Huyu alifanya kazi nzuri Sana alipokuwa mayor. Kwenye maswala ya maendeleo aliweka itikadi zake pembeni. Anajiamini, Kama akipewa ridhaa na chama chake anaweza kabisa
ana kazi sana asee. . . kuna makada kadhaa wenye potential zaidi yake wana-zoom tu kwa mbali
 
Wananchi zaidi ya 3,000 wapo nje ya kituo wamenyanyua mapanga juu...

Mkurugenzi amtaje nani zaidi,kama sio Lema?

Hapo polisi hasaidii wala ,mawe hayupo maana na yeye atakua chini ya uvungu anapambana na hali yake!
Wananchi hawa hawa watanzania sio? Afu unajua ukipiga kula unapaswa kukaa mita ngapi majimbo kama hayo yanayo onekana korofi lazima State i deploy troops wakutosha ku curb situation yoyote isiyoeleweka
 
Mkuu

Sio "kula" ni "kura"!

Halafu ukishapiga kura hata kama utataka wananchi wakae kilometer moja bado huna maana ,maana ukitoka hapo ofisini utatembea na barabara kwenda kwako,baada ya 1 km utawakuta wamejaa na mapanga yao

Kuhusu eti una deploy troops,brother huna troops za kutosha ku-deploy nchi nzima,vituo vyote malaki kadhaa ya kupigia kura

Viaskari vyenyewe unavyo 50,000 tu,huna capacity hiyo...na kama vichwani mwenu mnategemea askari polisi mnafeli kabisa....
 
Mkuu kwanza asante kwa Correction ila tu iyo deployment itafanyika kwa Majimbo korofi tu kuna sehemu hakuna haja hata mfano Cost zone haina haja ya Ulinzi ivo ila sehemu kama Arusha, mbeya lazima ziwe under watch closely
 
Majimbo korofi ni yapi?

Utaanza kufeli sasa hivi...
 
Back
Top Bottom