Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Meya Arusha, Kalist Lazaro achukua fomu kuwania Ubunge Arusha Mjini

Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Meya Arusha, Kalist Lazaro achukua fomu kuwania Ubunge Arusha Mjini

Wananchi zaidi ya 3,000 wapo nje ya kituo wamenyanyua mapanga juu...

Mkurugenzi amtaje nani zaidi,kama sio Lema?

Hapo polisi hasaidii wala ,mawe hayupo maana na yeye atakua chini ya uvungu anapambana na hali yake!
Muambie huyo mp#mbav# aliyekutuma hizo enzi zimeisha..kipindi kile watu walikuwa wanataka mabadiliko,kwa hiyo hata jiwe lingewekwa enzi hizo za ujinga jiwe lingepita.Hana issue huyu.
 
Huyu alifanya kazi nzuri Sana alipokuwa mayor. Kwenye maswala ya maendeleo aliweka itikadi zake pembeni. Anajiamini, Kama akipewa ridhaa na chama chake anaweza kabisa

Ndio ww Kalist mwenyewe nini? Kwa hela uliyoichukua ccm, hakikisha ukichaguliwa na ccm, unawekewa polisi na vikundi vya kutosha vya wahuni wa ccm ili utangazwe mshindi. Arusha hamna wajinga wa hivyo boss.
 
Muambie huyo mp#mbav# aliyekutuma hizo enzi zimeisha..kipindi kile watu walikuwa wanataka mabadiliko,kwa hiyo hata jiwe lingewekwa enzi hizo za ujinga jiwe lingepita.Hana issue huyu.
Uko sawa na msimamo wako

Sio lazima umpende yeye..ni haki yako kumchukia

Kura ndio zitaongea na wala sio majeshi mzee!

We will see into that!
 
Mtupeni orodha mpaka sasa
Kila jimbo wapo watia nia kwa ccm wangapi? Msituletee taarifa kifutu
 
Back
Top Bottom