Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Muambie huyo mp#mbav# aliyekutuma hizo enzi zimeisha..kipindi kile watu walikuwa wanataka mabadiliko,kwa hiyo hata jiwe lingewekwa enzi hizo za ujinga jiwe lingepita.Hana issue huyu.Wananchi zaidi ya 3,000 wapo nje ya kituo wamenyanyua mapanga juu...
Mkurugenzi amtaje nani zaidi,kama sio Lema?
Hapo polisi hasaidii wala ,mawe hayupo maana na yeye atakua chini ya uvungu anapambana na hali yake!
Huyu soro alitangaza nia huko kwao ila wanaCCM hawamtaki.
Huyu alifanya kazi nzuri Sana alipokuwa mayor. Kwenye maswala ya maendeleo aliweka itikadi zake pembeni. Anajiamini, Kama akipewa ridhaa na chama chake anaweza kabisa
Uko sawa na msimamo wakoMuambie huyo mp#mbav# aliyekutuma hizo enzi zimeisha..kipindi kile watu walikuwa wanataka mabadiliko,kwa hiyo hata jiwe lingewekwa enzi hizo za ujinga jiwe lingepita.Hana issue huyu.
Kwa akili yako ilivyo kama Mmawia umemnyoosha nani sasa!mimi kuwanyoosha mataga sijaanza leo aisee.
wewe mwenyewe nakunyoosha daily.Kwa akili yako ilivyo kama Mmawia umemnyoosha nani sasa!
Mimi bada kijana mbichi kabisa.Naendelea kujifunza kaka.Haya mambo sio ya kuparamia.[emoji1787]Wakati wewe ukiendelea kulalama, majimbo yanazidi kuisha, Katie Nia mkuu, Acha wivu