Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu Mbowe wamevurugwa kinomaSasa huyu jamaa naye anaongea nn? Mbona haeleweki?
Kina nani wamekatwa hukoo??Lissu , Heche, Pumbalu hawajahusika kuengua watia nia?
Wewe ndio muongo. Wote waliodaiwa kuwa walikuwa wanagawa rushwa wameeleza vizuri tu kuwa walikuwa wanalipa stahili za wajumbe wa Kanda zao. Lissu ndie ameleta mpasuko kwa kampeni yake iliyojaa uzushi na kuchafuana majina. Uamuzi wa kama Mbowe aendelee sio wa kwake au wa Lissu. Wapiga kura peke yao ndio wana wajibu huo. Kutaka kumnyima haki Mbowe ya kugombea kunaonyesha kabisa kuwa hiyo demokrasia haiko moyoni mwenu.Dogo Mwongo,Lissu alikwenda kutoa salamu za ufunguzi wa mkutano na kuondoka,hawa timu Mbowe ndiyo walikuwa wanagawa rushwa chooni,na wameshikwa live wanatafuta namna ya kuupaka matope upande mwingine. Mbowe amefanya dhambi kubwa sana kukigawa chama kwa uroho wake wa kutaka kuendelea kukaa madarakani.
Atulie, kesho kutwa atakuwa na furaha. Mwenyekiti wa BAVICHA anajifanya kasoma kisheria chake anajiona bonge la msomi, ataliwa kichwa punde akiendelea kumuona lissu kama Mwenyekiti 22/1Apambane na hali yake, yeye alishindwa kusoma upepo akamuunga mkono Mbowe.
Sababu ya hovyo kabisa ,hao wajumbe wa kanda wanalipiwa chooni huoni hata aibu kutetea visivyo teteekea?Wewe ndio muongo. Wote waliodaiwa kuwa walikuwa wanagawa rushwa wameeleza vizuri tu kuwa walikuwa wanalipa stahili za wajumbe wa Kanda zao. Lissu ndie ameleta mpasuko kwa kampeni yake iliyojaa uzushi na kuchafuana majina. Uamuzi wa kama Mbowe aendelee sio wa kwake au wa Lissu. Wapiga kura peke yao ndio wana wajibu huo. Kutaka kumnyima haki Mbowe ya kugombea kunaonyesha kabisa kuwa hiyo demokrasia haiko moyoni mwenu.
Amandla...
Uliona wakilipiwa chooni au ulisikia mtu akidai hivyo?Sababu ya hovyo kabisa ,hao wajumbe wa kanda wanalipiwa chooni huoni hata aibu kutetea visivyo teteekea?
Unalipaje posho stahili za wajumbe kificho, tena chooni wakati zoezi la uchaguzi likiendelea?Wewe ndio muongo. Wote waliodaiwa kuwa walikuwa wanagawa rushwa wameeleza vizuri tu kuwa walikuwa wanalipa stahili za wajumbe wa Kanda zao. Lissu ndie ameleta mpasuko kwa kampeni yake iliyojaa uzushi na kuchafuana majina. Uamuzi wa kama Mbowe aendelee sio wa kwake au wa Lissu. Wapiga kura peke yao ndio wana wajibu huo. Kutaka kumnyima haki Mbowe ya kugombea kunaonyesha kabisa kuwa hiyo demokrasia haiko moyoni mwenu.
Amandla...
Unautaka ushahidi ambao hata wewe mwenyewe unajua huwezi kuupataUliona wakilipiwa chooni au ulisikia mtu akidai hivyo?
Amandla...
Sasa kama unajua hauwezi kupatikana una hakika gani kuwa unachokidai kweli kilitokea? Huo si ndio uongo wenyewe?Unautaka ushahidi ambao hata wewe mwenyewe unajua huwezi kuupata