Aliyekuwa mgombea nafasi ya Uenyekiti BAVICHA: Lissu na Heche walitia doa kampeni za Uchaguzi wa BAVICHA

Atulie, kesho kutwa atakuwa na furaha. Mwenyekiti wa BAVICHA anajifanya kasoma kisheria chake anajiona bonge la msomi, ataliwa kichwa punde akiendelea kumuona lissu kama Mwenyekiti 22/

Ushahidi mkuu. Kwa nini wahusika hawakukamatwa na kufikishwa kwa wenye mamlaka? Ni yale ya pesa za Abduli.

Amandla...
SISI WANA CCM TU NAOMBA KESHO MUNG'OANE PUA KABISA
 
Ushahidi mkuu. Kwa nini wahusika hawakukamatwa na kufikishwa kwa wenye mamlaka? Ni yale ya pesa za Abduli.

Amandla...
Wewe hukuona video iliyoonyesha mgombea aliyedakwa akigawa pesa chooni huku mamlaka za Chadema zikisema alikuwa akilipa wajumbe posho?
Kuna mamlaka nchi hii inaweza kumkamata mtoa rushwa anayefanya hivyo kwa ufadhili wa CCM?

Jifunze kutumia ubongo wako sawa sawa.
 
Na hukuona mtu huyo huyo akielezea kuwa akilipa posho? Hakuna cha ajabu mtu kuamua kuwalipa watu posho katika sehemu ya faragha mbali na kelele na msongamano wa watu? Au ulitaka walipwe posho katikati ya ukumbi?

Kwa kweli common sense is not that common.

Too low.
 
Back
Top Bottom