Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Ushahidi mkuu. Kwa nini wahusika hawakukamatwa na kufikishwa kwa wenye mamlaka? Ni yale ya pesa za Abduli.Unalipaje posho stahili za wajumbe kificho, tena chooni wakati zoezi la uchaguzi likiendelea?
Lissu ataliwa kichwa arudi zake NCCR-MAGEUZI. Hao ndio mabingwa wa migogoro!Apambane na hali yake, yeye alishindwa kusoma upepo akamuunga mkono Mbowe.
Atulie, kesho kutwa atakuwa na furaha. Mwenyekiti wa BAVICHA anajifanya kasoma kisheria chake anajiona bonge la msomi, ataliwa kichwa punde akiendelea kumuona lissu kama Mwenyekiti 22/
SISI WANA CCM TU NAOMBA KESHO MUNG'OANE PUA KABISAUshahidi mkuu. Kwa nini wahusika hawakukamatwa na kufikishwa kwa wenye mamlaka? Ni yale ya pesa za Abduli.
Amandla...
Hiyo ni haki yenu.SISI WANA CCM TU NAOMBA KESHO MUNG'OANE PUA KABISA
Wewe hukuona video iliyoonyesha mgombea aliyedakwa akigawa pesa chooni huku mamlaka za Chadema zikisema alikuwa akilipa wajumbe posho?Ushahidi mkuu. Kwa nini wahusika hawakukamatwa na kufikishwa kwa wenye mamlaka? Ni yale ya pesa za Abduli.
Amandla...
Na hukuona mtu huyo huyo akielezea kuwa akilipa posho? Hakuna cha ajabu mtu kuamua kuwalipa watu posho katika sehemu ya faragha mbali na kelele na msongamano wa watu? Au ulitaka walipwe posho katikati ya ukumbi?Wewe hukuona video iliyoonyesha mgombea aliyedakwa akigawa pesa chooni huku mamlaka za Chadema zikisema alikuwa akilipa wajumbe posho?
Kuna mamlaka nchi hii inaweza kumkamata mtoa rushwa anayefanya hivyo kwa ufadhili wa CCM?
Jifunze kutumia ubongo wako sawa sawa.
Too low.Na hukuona mtu huyo huyo akielezea kuwa akilipa posho? Hakuna cha ajabu mtu kuamua kuwalipa watu posho katika sehemu ya faragha mbali na kelele na msongamano wa watu? Au ulitaka walipwe posho katikati ya ukumbi?
Kwa kweli common sense is not that common.
Amandla...