Aliyekuwa mke wangu, analazimisha kunirudia

Yan huyu hana tofauti na watawala wa kiafrika.Rais ana jopo la washaur lakin kila wakikutana badala ya wao kumshauri,yeye ndio anawashauri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ha ha has mi nimeleta taarifa tuu
 
Alafu anajingamba kwamba siwezi muacha kwa watu ngoja nimuoneshe
 
Unaweza kukuta alikuwa ameenda kozi maalum ya kuua.Awe makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…