Aliyekuwa mke wangu, analazimisha kunirudia

tupa kule tapishi hilo.
ila we jamaa unaonekana mbea mbea sana maana umeandika kama unaimba taarabu
 
Yaani hata mwaka hajatimiza kachakaa mbaya anakazi yakumsema shetani Mara yule hawara kamwaribia maisha na blaa kibao anasema kama nitamkataa bora afe kuliko kushuhudia naoa mke mwingine.

.
Mwambie afe hata leo ,huyo ni snake in the monkey shadow
 
Kwakweli
Mambo ya wanandoa Yana changamoto Sana.

Sema Sasa sijaona mahali kama umeandika unahitaji ushaur,pongezi au maoni.

Zaid zaidi naona umewashaur tu hawa dada zetu[emoji4]



Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ila Mimi- wewe ndiyo unanishangaza na yule mchepuko wako aseeh. Unakomaa naye kama vile mkeo na mna watoto kwahiyo hamuwezi kuachana yaani.
 
Ha ha ha ha naona akili yako inavyoamua kujifariji na kujidanganya.

Siku utapigwa na kitu kizito kichwani ndiyo utajua hujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…