Aliyekuwa mke wangu, analazimisha kunirudia

DeepPond ushapita hapa?? .lNi muendelezo wa Ndoa na hekaheka zake tu
Nmepita nmeona,
sema jamaa Kiana flan anafurahia anguko la ex wife wake.

Sema Mambo ya wanandoa Ni changamoto Sana,
Hapa anamdiss Sana ila najua TU kama mkewe alkua Ni fundi kule faragha kesho yake atakuja na bandiko lingine la kuukana Uzi wake mwenyewe.

Umesahau yale ya Mimi na Mchepuko yule wangu msumbufu?

Huwez Amin Tusharudiana tayar, alitumia vizur udhaifu ule wangu kumaliza mgogoro wetu[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo wa kutaka kujiua ningemlipia na jeneza zuri la gharama Nampa risiti akawape ndugu zake watalifuata.!!
Anakuja kukuua tu huyo hakuna anachofuata.
 
Ameyazoa yakuyazoa hukoo ameyabeba yakuyabeba sasa yamemshinda sasa anataka Kurudi....ndoa hiziiiiiiii[emoji134][emoji134][emoji134]!!
Sema Mimi huwa nahusudu Sana kumsamehe mtu ambae najua kashaenda uko yamemshinda, afu akarudi mikono nyuma (ILA AKIWA SALAMA, Hana ngoma)[emoji4]
Ile moment huwa naifurahia Sana[emoji4]

Afu Kingine,
Huwa naamini mtu uyo anayo nafas kubwa ya kua mtu Bora Zaid maana najua uko alikotoka keshapata darasa tosha la maisha na upendo maana Ake Ni Nini.

Akili yangu inanambia,
Sidhan Kama mtu uyo anaweza rudia Tena Ujinga ule tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…