Aliyekuwa mke wangu, analazimisha kunirudia

Kwamba awainue muwe mnakimbia ndoa mkiwa nacho Ila mkiwa Hamna kitu ndio muwatafute wanaume?
Hapana atuinue kichumi kwani kupitia kigezo hiko tinajikuta sometimes tunanyanyasika sana na kutumika kingono mnoo!
 
Nimemaanisha possibly huyo mke hakuwa na means ya kuendelea kujipatia income so no way ! Na mume anataka kumnyanyasa kupitia hilo!
Mungu atusaidie sana na kutuinua wanawake.
Sijawahi u kumdidimiza na hata hiyo ofisi ni Mali yangu kuanzi vifaa machine na kodi nilikua nalipa Mimi pesa anasaidia ndugu zake...
Yaan uharibu ndoa yako utese watoto wako unataka Mungu akusaidie mbona mnateteana ujinga?
 
Sijawahi u kumdidimiza na hata hiyo ofisi ni Mali yangu kuanzi vifaa machine na kodi nilikua nalipa Mimi pesa anasaidia ndugu zake...
Yaan uharibu ndoa yako utese watoto wako unataka Mungu akusaidie mbona mnateteana ujinga?
Eehhh namtetea mwanamke mwenzangu najua kitaa maisha magumu sana japo alikosea ila no way ni mkeo! Msamehe aeshajifunza!
 
Kwanza Unakataeje kwa mfano[emoji4]

huo ujasili unaupata wapi Kwanza keshakupatamia kifuani na koni keshaanza kuilamba[emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa.... Kwa case ya @babajayron inahitaji busara za hali ya juu Kwani jamaa keshazama kwa chuchu sasita na minato minato..
Amsamehe tu wagange yajayo aseeh
 
Kweli pita pita zangu sijaona funding ka yeye sema nimejifunza ndoa si ufundi mwanamke tabia na uvumilivu
 
Huyo wa kutaka kujiua ningemlipia na jeneza zuri la gharama Nampa risiti akawape ndugu zake watalifuata.!!
Anakuja kukuua tu huyo hakuna anachofuata.
Ushauri mzuri mkuu ntaufanyia kazi
 
Uko sawa mkuu kazia hapo hapo hawa viumbe wanasumbua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…