Aliyekuwa mke wangu, analazimisha kunirudia

Vibaya hivo mkuu mpokee tu mwenzio mlee watoto... Kumbuka ameshanyonyesha sana watoto wako Ndiomana chuchu zikalala! Msamehe jamani
Kabla ya kusamehe amkague kwanza marinda, ahakikishe yapo yote 32 lisipungue hata rinda moja.
Mi naamini kabisa yule muhuni aliifuja sana hii chombo ya moto, mpaka akahakikisha imekua scrapper yaani haiuziki labda ikapimwe kama chuma chakavu.
 
Mabibi na mabwana,

Yule shemeji yenu aliyenivuruga na kunitelekeza na watoto kwa mbwembwe na kiburi sasa ana-force kurudi akiwa hoi bin taaban. Anadai hata nikim-crash vipi mimi ndio mume wake baba watoto wake. Maajabu na sasa. Yaani msg simu haziishi sorry za kila aina mhhh sijui katumwa huyu?

Ila za chini chini nasikia jamaa kambwaga baada yakuona mtelezo hamna tena (walitegemea vi sumli vyangu kundesha mapenzi yao)

Ofisi niliyomfungulia ikampa jeuri kupata pesa za kuhonga sasa kapigwa notice ya either ahame au alipekodi mara mbili aiseeh Mungu yuko fast a saana. Sasa hajui ataishije mjini hapa.

Yaani hata mwaka hajatimiza kachakaa mbaya anakazi yakumsema shetani Mara yule hawara kamwaribia maisha na blaa kibao anasema kama nitamkataa bora afe kuliko kushuhudia naoa mke mwingine.

Chaajabu alishaanza na process za kudai talaka sa sijui ni msaidiaje? Kwake naona kinyaaaaa, na nipo natafuta na kuchovya chovya mabitch wengine nipate wakuishi nae tusogeze siku maana hawaeleweki hawa.

Note: Madada wa humu JF msicheze na ndoa Mungu analipa fasta siku hizi kama hujui maana ya ndoa usiing'ang'anie na kusumbua mwanaume utabeba laana na mikosi bure.
Usikubali anataka kurudi si kwamba anakupenda au katambua makosa yake, hapana bali mambo yameenda kombo anawaza aje apate pa kukaa na kula. Asingekuwa kafulia hata asingerudi. Tena kaza nut taraka itoke
 
Kabla ya kusamehe amkague kwanza marinda, ahakikishe yapo yote 32 lisipungue hata rinda moja.
Mi naamini kabisa yule muhuni aliifuja sana hii chombo ya moto, mpaka akahakikisha imekua scrapper yaani haiuziki labda ikapimwe kama chuma chakavu.
Hahaa... Inasikitisha na kuhuzunisha sana
 
Naaaah,,, girls are fuckn brilliant ,,, but kwanini they are fooled and treated weirdly,?? Because using their brain in full potential hawawezi,,!! Sababu ya fashion ya kupenda easy peasy things,, and kukataa reality
Ukweli mchungu!😜
 
Mabibi na mabwana,

Yule shemeji yenu aliyenivuruga na kunitelekeza na watoto kwa mbwembwe na kiburi sasa ana-force kurudi akiwa hoi bin taaban. Anadai hata nikim-crash vipi mimi ndio mume wake baba watoto wake. Maajabu na sasa. Yaani msg simu haziishi sorry za kila aina mhhh sijui katumwa huyu?

Ila za chini chini nasikia jamaa kambwaga baada yakuona mtelezo hamna tena (walitegemea vi sumli vyangu kundesha mapenzi yao)

Ofisi niliyomfungulia ikampa jeuri kupata pesa za kuhonga sasa kapigwa notice ya either ahame au alipekodi mara mbili aiseeh Mungu yuko fast a saana. Sasa hajui ataishije mjini hapa.

Yaani hata mwaka hajatimiza kachakaa mbaya anakazi yakumsema shetani Mara yule hawara kamwaribia maisha na blaa kibao anasema kama nitamkataa bora afe kuliko kushuhudia naoa mke mwingine.

Chaajabu alishaanza na process za kudai talaka sa sijui ni msaidiaje? Kwake naona kinyaaaaa, na nipo natafuta na kuchovya chovya mabitch wengine nipate wakuishi nae tusogeze siku maana hawaeleweki hawa.

Note: Madada wa humu JF msicheze na ndoa Mungu analipa fasta siku hizi kama hujui maana ya ndoa usiing'ang'anie na kusumbua mwanaume utabeba laana na mikosi bure.
Papuchi haina makombo we endeleza walipoishia wenzio.
 
Back
Top Bottom