Aliyekuwa mke wangu, analazimisha kunirudia




Kuna raia katumiwa hizo msg na mwanamke aliyempenda kwa dhati,

jamaa alikua anamuhudumia kama mke wake wa ndoa mwisho wa siku katumiwa msg hizo
 
Kuna wengine Tania ipo kwenye damu . Kwahiyo hawabadiliki hata ikiwaje
 
Unachoongea ndio uhalisia lakini siwezi ilazimisha nafsi yangu yaan nishaamua
 
hii iko pande zote, hata kwa "Ke" ukiachana na mume aliyekuwa anakunyanyasa halafu mambo yake yasiende alivyokuwa anategemea tunafurahia.
Ila Mimi nnamsikitikia tuu kitendo cha kurudi kwangu ndo namshangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…