TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT, Amatus Liyumba afariki dunia

Usikute kafa kwa presha akihofia kurudishwa jela kwa ufisadi aloufanya baada ya kutoka jela.
 
Director Joan kapata msiba mkubwa Sana yupo huko insta anaelezea Wema wa marehemu kwake. Maimartha sijui ana hali gani sasa.[emoji1] [emoji1] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwani vepeee
 
Kila bonde litajazwa na milima yote itashushwa.

Halitabaki jiwe hata moja ambalo halitabomolewa. Hakuna kidumucho zaidi ya NENO!.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] soon Wakati planet x ikitupondaponda
 
RiP A Liyumba! Best ya JK ambae walisalitiana mwishoni sababu ya warembo! Pumzika kwa amani!
 
Mhhhh..[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Director Joan kapata msiba mkubwa Sana yupo huko insta anaelezea Wema wa marehemu kwake. Maimartha sijui ana hali gani sasa.[emoji1] [emoji1] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Alikua nani yake director Joan... naona nae anasikitika kifo chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…