TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Mkuu tabby, angalau wewe ndo great thinker na wengine wachache waliobakia humu. The rest Mungu anajua status zao...
 
wa pili huyu baada ya yule mkurugenz wa shinyanga hapa kaz tu
 
Nadhani sasa bwan mkub JPM atafua sheria na ataach mihemko yake! Ajue wateule nao ni binadam na wana mioyo ya nyama aw na weledi , afuate sheria na tarati na yule Makonda yule ndio mfitini anasemelea kama vile hana busara! Nae nadhani atajirekebisha hatutaki unafiki vyeo tu hivyo! Ipo siku nao watatoka tu hapo!
 
do!!!!!!!!!!!!!!
 
haya maisha haya..mahoteli yake,,viwanja vyake , nyumba zake zote ameziacha dah,,,tutendeni mema hapa duniani mali, pesa, zote tutaziacha..R.I.P
Very well said !Natamani kila mtu angekua anawaza haya always.
 
kama ni wezi watumbuliwe tu wakati wanaiba hawakujua kama ni binadamu
 
swala si ujasiri swala ni hekima na ndo mana kama umeenda shule lazima ufundishwe jinsi ya kupresent feedback to the people lazima uelewe mtu atajisikiaje.
 
Siku zake za kuishi duniani zimekwisha...hata mimi na wewe siku zetu zitakwisha.Mazuri tuyafanyayo ndiyo yatakayotusaidia huko tuendako.Tumuombe Mungu amsamehe makosa yake na sisi pia.
Kama yeye binafsi hakuomba msamaha kwa makosa yake, Mungu hatamsamehe kwa sisi tuliobaki kumwombea msamaha. Mark that.
 
Bila shaka moyo ulikosa nguvu za kuhimili ile aibu.......nimtumbue au nisimtumbue.......tumbuaaaaa........dah......so sad.......Pumzika kwa amani.
Yani very sad,hakuna aibu mbaya kama ya kuhadhirishwa hadharani,kunavitu kama huamini vitakukuta vinaweza kukuua kwa msongo wa mawazo,nilijifunza kitu katika movie ya 3idiot pale mwanafunzi alipojinyonga kisa mwalimu kumuumbua kwa kile alichokitengeza,msibani kila mtu alikua anamshtmu mwalimu tujifunze,hawa viongozi kama makonda ni jeraha tu.
 
Bora makonda asiende kwenye msiba yeye ndio chanzo cha kifo chake
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…