TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Pole kwa familia ya mfiwa

pole ya nini wakati wameachiwa mihela ya kumwaga? tujipe pole sisi tunaoshindwa hata kununua kilo ya sukari kwaajili ya watu kama hawa.

Pia pole ziwafikie wanadaslam wote waliofariki either kwa ajali kutokana na barabara zilizojengwa chini ya kiwango , au kwa kukosa dawa hospitali , na vifo vyote vilivyosabavishwa na huduma mbovu
 
Hivi huyu ndugu wana udugu na Zitto Kabwe au ni by coincidence tu jina la ukoo kufanana?

##Wilson Kabwe

##Zitto Kabwe
 
SIKU YA MAZISHI:

Marehemu wakati wa uhai wake alikuwa MTENDAJI MZURI SANA, MWAMINIFU SANA, TAIFA LIMEPOTEZA MTU MUHIMU SANA... HAKUNA WA KUZIBA PENGO LAKE...!! R.I.P....

Aaaaarrrgghhhw...
 
Ikute Makonda ndo atakuwa frontline kwenye kuaga mara ya mwisho,dah si mchezo.Ila jamani kutumbuliwa hadharani inatakiwa baadae uwaone washauri wa kisaikolojia aisee other wise waweza ondoka kabla ya siku zako[/N]


Hapana, huwezi kuondoka kabla ya siku zako mkuu..
 
Hivi huyu ndugu wana udugu na Zitto Kabwe au ni by coincidence tu jina la ukoo kufanana?

##Wilson Kabwe

##Zitto Kabwe
Hawana undugu hata sumni.. Zitto anatoka kigoma .. Wilson Mkenga Mbonea Kabwe anatoka milima ya upare same mamba mpinji kirungaya
 
Ukweli ni kuwa Kabwe alikuwa ameshaandika barua ya kustaafu miezi 2 kabla ya huo utumbuaji mnaosema, na kama ni kuugua alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa sukari miaka mingi. RIP Kabwe. MolA airehemu roho yake.
 
Bila shaka moyo ulikosa nguvu za kuhimili ile aibu.......nimtumbue au nisimtumbue.......tumbuaaaaa........dah......so sad.......Pumzika kwa amani.
Kwa hilo, Rais ali-prove kukosa busara na hekima katika kufanya maamuzi.
 
Siku zake za kuishi duniani zimekwisha...hata mimi na wewe siku zetu zitakwisha.Mazuri tuyafanyayo ndiyo yatakayotusaidia huko tuendako.Tumuombe Mungu amsamehe makosa yake na sisi pia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom