TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Hata wasiojitambua watamwelewa tu TL, huu utumbuaji usiofuata utaratibu wa sheria za utumishi wa umma utaondoa watu wengi sana.

usipofanya kazi kwa uadilifu utumbuliwe tu na hata ukifa haituhusu..cha msingi tunahitaji mwadilifu
 
Taarifa zaweza kuwa kweli. Lkni vp hawa wezi wanapokuwa wakiondoka kwenda hatujui tunajua wakisha rejea. mara nyingi utasikia amerejea kutoka India alipokuwa kwenye matibabu!!! Kama kafa kweli. Nisomo kuwa hata tukikimbia kwenda India nakwengineko Umauti utatukuta popote kwa saa dakika na sekunde husika. Muumba habadilishi ahadi na ajali ya mtun
 
Tangu mwanzo tulihoji Makonda kumchongea mtu ambaye toka December mwaka Jana yuko kitandani.....na alishaandika barua kustaafu Kwa ugonjwa ...na hakuweza kujibu tuhuma juu yake ....Ina maana tuhuma zilikuwa za upande mmoja...hata Kama ni kweli lakini rule of natural justice zinasema wazi alikuwa na Haki ya kusikilizwa.....
 
Anayetakiwa kuzingatia masuala ya kisaikolojia na utu wa binadamu ni MTUMBUAJI na siyo MTUMBULIWA. Tukiendelea na style hii ya kudhalilisha viongozi hadharani bila kuzingatia sheria na kanuni za uongozi bora tutapoteza wengi.
Acheni double standard jamani, yeye kutumia madaraka yake vibaya nako ni kudhalilisha watanzania walio wengi hadharani tena bila kuzingatia sheria. Ukitaka kuheshimiwa jiheshimu kwanza.
 
Kwa maana hiyo hata pesa zetu alizofisadi ndio basi tena tuandike maumivu.
 
Tuone JPM &Makondakta watakavyosema kuwa Jamaa alikuwa mchapakazi.... Pengo lake halitazibika...


Taifa limepoteza mtu makini..



R.I.P Kabwe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom