Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
'Mlimhukumu bila kumsikiliza', na hukumu yenyewe ikatolewa kwa kuuliza watu mkutanoni-nimtumbue au nisimtumbue.....haya tunakusubiri wewe mwanasheria utueleze...Baba sheria ipi bambayo haifatwi au ipi imevunjwa
Nb
Kama hujui mambo ya sheria ni vyema usiyaseme yahusuyo sheria
Umeambiwa
alikuwa anaumwa kabla hajatumbuliwa
...Aidha, inasemekana tangu siku ile wamtumbue jipu ktk Daraja la Kigamboni (Nyerere Bridge) alikuwa shocked sana alikuwa kalazwa India akipatiwa matibabu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Du,jamani usiombe kabisa kutumbuliwa kukute,RIP Mkurungezi mtumbuliwa
hizo data umezitoa wapi!!!Wengi wanaoenda kutibiwa India hufa, wengine wakiwa huko huko India na wengine mara baada ya kurudi ndani ya mwaka mmoja. Sijui India wanapata matibabu sahihi au la?
Nyongone humu humu Jf, nyingine mitaani kwa niliowashuhudia.hizo data umezitoa wapi!!!
You are right, but also those who embezzle public funds and perform unethically must be wise enough before they decide to commit or omitThis shows der s something wrong in other way I can say Wisdom is needed in the way of taking decisions..............
Huyu jamaa humfahamu vizuri, kawekeza sehem nyingi sana ... Arusha wana hoteli kama paradiso na mwanza ana vitega uchumi .. Mererani wadogo zake wana migodi etcAisee!! Maisha ya kuwekeza akili kwenye ajira ni nuksi sana
Ooohh kumbe!! Basi kama aliwekeza kwa mungu akale bata huko.Huyu jamaa humfahamu vizuri, kawekeza sehem nyingi sana ... Arusha wana hoteli kama paradiso na mwanza ana vitega uchumi .. Mererani wadogo zake wana migodi etc
Jamaa kajichanganya sana, ni kwamba haelewi huo mfumoAsee hivi we jamaa umeambiwa Mkurugenzi wa jiji kwa kiingereza ndo RAS au? Acha kuchanganya habari aisee.
RIP. My former bocy
Ni msabato. Kumbuka usihukumu ... Anayehukumu sio binadamu.. Unaweza kuhukumu kumbe wewe kifo chako umepangiwa kwenda kufia gesti na mke wa mtu..Ooohh kumbe!! Basi kama aliwekeza kwa mungu akale bata huko.
Anayetakiwa kuzingatia masuala ya kisaikolojia na utu wa binadamu ni MTUMBUAJI na siyo MTUMBULIWA. Tukiendelea na style hii ya kudhalilisha viongozi hadharani bila kuzingatia sheria na kanuni za uongozi bora tutapoteza wengi.Ikute Makonda ndo atakuwa frontline kwenye kuaga mara ya mwisho,dah si mchezo.Ila jamani kutumbuliwa hadharani inatakiwa baadae uwaone washauri wa kisaikolojia aisee other wise waweza ondoka kabla ya siku zako