mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,099
Poleni wote mlioguswa kwa namna moja au nyingine.. Mungu amuweke panapostahili.
Duh Mshuza2 mbona mchoyo wa pepo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni wote mlioguswa kwa namna moja au nyingine.. Mungu amuweke panapostahili.
haya maisha haya..mahoteli yake,,viwanja vyake , nyumba zake zote ameziacha dah,,,tutendeni mema hapa duniani mali, pesa, zote tutaziacha..R.I.P
Hata wasiojitambua watamwelewa tu TL, huu utumbuaji usiofuata utaratibu wa sheria za utumishi wa umma utaondoa watu wengi sana.
Huyu jamaa alikuwa mgonjwa hata kabla ya kutumbuliwa. Yamkini kutumbuliwa kumechangia kifo, lakini kutotumbuliwa pia sio protective kwenye kifo.![]()
Inadaiwa amefariki dunia akiwa nchini India alikokuwa kwa matibabu.
Aidha, inasemekana tangu siku ile wamtumbue jipu ktk Daraja la Kigamboni (Nyerere Bridge) alikuwa shocked sana alikuwa kalazwa India akipatiwa matibabu.
=====
UPDATE: Naithibitisha taarifa hii
Daaaaah mkuuWalikuws wanakula fedha za Umma sasa zinawala!!!
BACK TANGANYIKA
![]()
Inadaiwa amefariki dunia akiwa nchini India alikokuwa kwa matibabu.
Aidha, inasemekana tangu siku ile wamtumbue jipu ktk Daraja la Kigamboni (Nyerere Bridge) alikuwa shocked sana alikuwa kalazwa India akipatiwa matibabu.
=====
UPDATE: Naithibitisha taarifa hii
ALIKUWA MZARENDO,MWADILIFU NA MCHAPAKAZI.RIP!![]()
Inadaiwa amefariki dunia akiwa nchini India alikokuwa kwa matibabu.
Aidha, inasemekana tangu siku ile wamtumbue jipu ktk Daraja la Kigamboni (Nyerere Bridge) alikuwa shocked sana alikuwa kalazwa India akipatiwa matibabu.
=====
UPDATE: Naithibitisha taarifa hii
mkuu rudia tena alikuwa nani????ALIKUWA MZARENDO,MWADILIFU NA MCHAPAKAZI.RIP!
UmeambiwaKwa hiyo kutumbuliwa inaweza kuwa sababu ya kifo chake?
Yawezejana alikuwa mgonjwa lakini siyo kweli kuwa alikuwa mgonjwa kiasi cha kushindwa kufanya kazi. Hata siku alipokuwa anasimamishwa alikuwa kazini. Na waliokuwa naye siku akisimamishwa wanasema alionesha utulivu mkubwa tofauti na walivyotegemea.
Hadithi ndefu hazisaidii lakini kilicho muhimu ni kuwa Kabwe kafariki wakati jina lake likitajwa kila mahali kuanzia magazetini, bungeni mpaka vinywani mwetu tulio wengi. Kilichokuwa kikitamkwa zaidi ni kuwa aliondolewa kazini kwa namna ambayo ni kinyume na kanuni za utumishi.
R. I. P mzee KabweHuyu jamaa alikuwa mgonjwa hata kabla ya kutumbuliwa. Yamkini kutumbuliwa kumechangia kifo, lakini kutotumbuliwa pia sio protective kwenye kifo.