Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado liko tumaini! La ufufuo na uzima wa milele kwa waliolala katika kristo. Mungu awape amani, faraja na tumaini ndugu wote wa marehemu.apate pumziko la milele.
Kwani umesikia Makonda akisema kuwa ataenda msibani?RC Makonda alisema hawezi kufanya kazi na Mr Kabwe, itashangaza wengi endapo ataudhuria msibani. Kwani utampendaje mtu baada ya kufariki? Huo utakuwa unafiki mkubwa sana.
kwa nini mbaya mkuuHabari mbaya sana hii, apumzike kwa amani.
Lazima atumie hekimaNauliza tu, hivi Makonda ataenda kwenye mazishi ya huyo Mzee?
Siku zote kifo cha binadamu mmoja ni huzuni kwa waliosalia. Siamini kama kuna binadamu, tena aliyepewa majukumu mengi katika utumishi wake kwa miaka mingi, akakosa jambo jema katika utumishi wake.Unafki mbaya Sana.Malaika wa mwenge watahudhuria nakumwabia mjane"Kabwe was good man".
haya maisha haya..mahoteli yake,,viwanja vyake , nyumba zake zote ameziacha dah,,,tutendeni mema hapa duniani mali, pesa, zote tutaziacha..R.I.P
Naomba kuuliza tu, hivi Makonda ataenda msibani? Maana marehemu alikuwa colleague wake!!!! Nauliza tu naomba nisimsemee mkulu![]()
Inadaiwa amefariki dunia akiwa nchini India alikokuwa kwa matibabu.
Aidha, inasemekana tangu siku ile wamtumbue jipu ktk Daraja la Kigamboni (Nyerere Bridge) alikuwa shocked sana alikuwa kalazwa India akipatiwa matibabu.
=====
UPDATE: Naithibitisha taarifa hii
Duh makonda sindio alimuunguza kwa mkuu wa kaya,
Yawezejana alikuwa mgonjwa lakini siyo kweli kuwa alikuwa mgonjwa kiasi cha kushindwa kufanya kazi. Hata siku alipokuwa anasimamishwa alikuwa kazini. Na waliokuwa naye siku akisimamishwa wanasema alionesha utulivu mkubwa tofauti na walivyotegemea.Ninaomba tuache habari za uchochezi. Huyu mzee baada ya tangazo la kufukuzwa kazi, iliwekwa bayana kwamba alikuwa ameomba kustaafu kwa ajili ya afya yake. Iweje leo tusingizie watu wameua ikiwa likuwa dhaifu kwa muda mrefu kiasi hata cha kushindwa kufanya kazi?
Ni vyema tukamheshimu Mungu jamani.
Halafu pia, mtu akifanya makosa akaumiza watu au kuharibu hatima zao makusudi kwa jinsi isiyohalali, makosa hayo hayafutwi na kifo kwa sababu kufa kwake hakubadilishi automatically maumivu ya watu aliowatesa na wengine kuwapotezea maisha. Ndiyo sababu Biblia inasema kufa ni mara moja na baada ya kufa ni hukumu. Hakuna toba wala nini baada ya kufa bali matendo ya kila mtu yanamfuata.
Lakini huyu mzee wetu hajawahi kufanya jema lolote katika maisha yake? Katika kipindi hiki, ninaomba turejee ubindamu wote. Tujengemsiba wake katika heshima ya mazishi bora. Kwamba tuache kulaumiana kwa ushabiki wa kukomoana, lakini pia tutafakari kama kuna jema lolote alilowahi kutenda huyu ndugu, na hilo ndilo tulitaje. Ni binadamu huyu.
Maisha yake baada ya hapa sasa yanakuwa chini ya Hukumu ya Mungu kwa ajili ya roho yake, na sheria za nchi kwa ajili ya matumizi ya mamlaka aliyokuwa nayo.
Ninashukuru kwa walionielewa.