evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
RIP rafiki yangu Mzee Wilson Mbonea Kabwe kweli kila nafsi itaonja mauti.
Jamani tuwe tayari muda wote kwa hatujui siku wala saa
Jamani tuwe tayari muda wote kwa hatujui siku wala saa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajajibu mashtaka yapi? Maneno ya Makonda ndio criminal charge sheet?
Tujifunze kuwapa watu due process of law. Ungempeleka akajitetee angeweza labda kukupa majina makubwa zaidi. RAS is a lightweight kwenye utawala na maamuzi ya jiji. Rais kashtukizwa hadharani na maneno ya Makonda akataka kufurahisha umati kwa kum fire RAS. Mbona kamuacha RC Sadick, alikuwa wapi wakati hii mikataba inapitishwa? Kwa nini AG nae hakuihakiki? Pesa iliyoingiwa mkataba ilikuwa north of the threshold which triggers Attorney General mandatory review. Inakuaje mtu mmoja ajiamulie peke yake kuingia mkataba wa mabilioni bila kufuata sheria? Haiwezekani. Basi angeweza kuuza Uwanja wa Taifa peke yake. Your problem here is bigger than just one individual.
Umeelewa nilichoandika?. "Kama aliwekeza kwa mungu basi akale bata"Ni msabato. Kumbuka usihukumu ... Anayehukumu sio binadamu.. Unaweza kuhukumu kumbe wewe kifo chako umepangiwa kwenda kufia gesti na mke wa mtu..
Anayetakiwa kuzingatia masuala ya kisaikolojia na utu wa binadamu ni MTUMBUAJI na siyo MTUMBULIWA. Tukiendelea na style hii ya kudhalilisha viongozi hadharani bila kuzingatia sheria na kanuni za uongozi bora tutapoteza wengi.
baas nyiny wote ccm mfe sasa hiv kwasabab ni wezNa wewe ukiwa mwizi mzee, kuibia fedha za wananchi kiujanja ujanja halmashauri, utafia India.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe majipu yakipasuka MTU unakufa?
bocy? nampa pole bosi wako kwa hasara alokua nayo
uwiii yeuiiii wehuuu huuuu mmemua kabwe wetUlikuwepoo???? Mxiu
ALIKUWA MZARENDO,MWADILIFU NA MCHAPAKAZI.RIP!
Jamani tusikuze sana haya mambo maana kufa kupo na probability ya kutokea ni 1 (100%), mind mh. alishaenda India hata kabla ya kutumbuliwa kielelezo kwamba alikuwa mgonjwa.Anayetakiwa kuzingatia masuala ya kisaikolojia na utu wa binadamu ni MTUMBUAJI na siyo MTUMBULIWA. Tukiendelea na style hii ya kudhalilisha viongozi hadharani bila kuzingatia sheria na kanuni za uongozi bora tutapoteza wengi.
kwamba haiwezi kufanya nae kazi(kwasababu za maadili) haina maana kuwa hawezi kumzika lakini?Kwani umesikia Makonda akisema kuwa ataenda msibani?
RIPDu,jamani usiombe kabisa kutumbuliwa kukute,RIP Mkurungezi mtumbuliwa
Una uhakika alikula?Mimi Sitasema R.I.P hadi pale pesa za watanzania alizokula azirudishe hata kama ni familia yake