TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Duh! kuna kila sababu ya kumshauri dada'angu mkurugenzi wa taasisi flani kwenye hii serikali ya Mtumbuaji astep down otherwise tutamkosa ghafla bin vuuuuu!
RIP Kitwanga aaash sory ni Wilson Kabwe kumbe!!!
 
Kwameh weye umekurupuka Au Ulikuwa Na Kitwanga.Makonda aliwaambia wahandishi wa habari majanga aliyo yafanya ndungu Kabwe hapo Dar.Kwa sababu Mh Makonda hawezi kumfukuza kazi kisheria alipeleka malalamiko Kwa Mkulu.
Siku ya ufunguzi wa daraja la Nyerere ndio Mkulu akamuuliza Mh Makonda kuhusu hayo malalamiko ndio akayaeleza Ndio JPM akatumbuwa bila ganzi
Halafu umechanganya sana madai yako kwa KiswaNglish haueleweki kabisa
Kwanza you got the history wrong. Una assume kwamba Rais alikuwa anasikiliza hiyo press conference ya Makonda siku za nyuma. For all we know Rais alipewa shutuma siku ile ile, cheki video ipo, halafu Rais hebu njoo tena ueleze vizuri, hivi ulikuwa unasemaje? Siku ile ile!

So, where was due process?

Iweje maneno ya DC wa wilaya moja yawe final and fatal to the job of council director wa jiji?

In other words, Mkuu wa Wilaya ni bosi wa Mkurugenzi wa Jiji? Sasa kwa nini Rais Mwema Sana akurupuke ku act based on shutuma za kwenye uwanja wa wazi?
 
watakufa wengi safari hii wenye roho Nyepesi, unatumbuliwa kesho unatiwa kwenye karandinga kwenda keko au ukonga
 
Eee bwana nan anayefuta kufa hapa kesho?Ni wewe au mimi?Hizo ni sababu tu.MUNGU ndiye anaye jua kesho yako. R.I.P Wilson Kabwe.
 
Ila Rais kusema mbele ya kadamnasi nitumbuwe ama nisitumbuwe.....haikuwa kitu kizuri
 
R
Kwanza you got the history wrong. Una assume kwamba Rais alikuwa anasikiliza hiyo press conference ya Makonda siku za nyuma. For all we know Rais alipewa shutuma siku ile ile, cheki video ipo, halafu Rais hebu njoo tena ueleze vizuri, hivi ulikuwa unasemaje? Siku ile ile!

So, where was due process?

Iweje maneno ya DC wa wilaya moja yawe final and fatal to the job of council director wa jiji?

In other words, Mkuu wa Wilaya ni bosi wa Mkurugenzi wa Jiji? Sasa kwa nini Rais Mwema Sana akurupuke ku act based on shutuma za kwenye uwanja wa wazi?[/QUOTE.Rais akufanya kiushabiki yale mambo alikuwa anayajua muda mrefu sema ilikuwa ni hali ya kuteka watu kisaikolojia ujumbe ufike vizuri kwakuwa watu wote walikuwa wanatega sikio ili wenye maovu wasikie na kuogopa.Kwani unapomuhazibu mtoto wako kwa kumchapa hadharani mbele ya wanafunzi wenzake /watoto wenzake na kumchapia chumbani,kunakuwa na tofauti gani?Rais alishakua na habari kamili kuhusiana Wilson Kabwe.So alifanya vile ili watu wapunguze ufisadi.
 
Shock ya kutumbuluwa hadharani imeongeza kasi ya kifo chake hata kama alikuwa anaumwa.
 
Ningekuwa Same, musiba huu ni mhimu kuhudhuria.

Waovu wote wajifunze, kuwaibia maskini ni laana, hautonufaika kwa lolote bali ni majanga juu ya majanga.

Haya, huyu aliiba vya kutosha mwanza, wenje akasema wee lkn badala ya kuchukuliwa hatua au badala ya yeye kujirekebisha, kahamia dsm, kafanya yaleyale ya mwanza, mwana ccm kamlilia, katumbuliwa hadharani, hata mwezi haujaisha ka r.i.p. kama sio ku r.i.h maana sidhani kama alikumbuka kutubu.

Mwisho kazi ya Mungu haina makosa
 
Siku za Mwanadamu kuishi hapa duniani ni chache sana(R.I.P. Kabwe).
 
So sad news

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Ningekuwa Same, musiba huu ni mhimu kuhudhuria.

Waovu wote wajifunze, kuwaibia maskini ni laana, hautonufaika kwa lolote bali ni majanga juu ya majanga.

Haya, huyu aliiba vya kutosha mwanza, wenje akasema wee lkn badala ya kuchukuliwa hatua au badala ya yeye kujirekebisha, kahamia dsm, kafanya yaleyale ya mwanza, mwana ccm kamlilia, katumbuliwa hadharani, hata mwezi haujaisha ka r.i.p. kama sio ku r.i.h maana sidhani kama alikumbuka kutubu.

Mwisho kazi ya Mungu haina makosa
Kifo ni kifo tu na wengi wa wanaokufa huwa hawajiandai na pia Kifo ni huwakuta wema na waovu.

Kabwe alikuwa mgonjwa kwa muda mrefu na ni yeye peke yake anayeweza kujua mahusiano ya kiroho kati yake na Mungu wake. Mimi nina amini alipata muda wa kuweka mambo yake sawa (naamini tu).

Sisi sote tumetenda dhambi na kuoungukiwa na utukufu wa Mungu. Wewe unayefikiri alikuwa hajatubu dhambi zake umetubu dhambi zako na uko tayari kwa kifo?

Nyakati za msiba ni vema kuweka akiba ya maneno.
 
Kuna baadhi ya vifo huwakuta watu na watu hufarahia. Kabwe japo kafariki, athari za matendo yake zitakuwa za muda mrefu. Mwanza wanajua nacho zungumza. Kafanya maovu mengi sana kiasi kwamba wenyeji wa mwanza hawawezi omboleza kifo chake toka moyoni.

Kufa ni kufa ndio lkn kuna vifo vingine ni vyema sana. Sijamhukumu ndo maana nimeandika a r.i.p lkn kama hakutubu ata r.i.h.

Kwa imani yangu, hata kama ntalia machozi yote, siwezi badili mwafaka wake na Mungu wake. Hukum ni ya Mungu mkuu
 
Kiukweli maisha ni mafupi sana ! Sijui kwanini watu wanaiba hela nyingi .
 
wilson%2Bkabwe.JPG

Ndugu Wilson Kabwe, aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar na baadae kusimamishwa kazi mwanzoni mwa mwezi Mei, amefariki dunia.

Aidha, inasemekana tangu siku ile wamtumbue jipu ktk Daraja la Kigamboni (Nyerere Bridge) alikuwa shocked sana, ila tangu awali inadaiwa alikuwa kalazwa India akipatiwa matibabu.

=====
UPDATE: Naithibitisha taarifa hii
RIP mkurugenzi..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom