Aliyekuwa Mkurugenzi wa Sheria TFF amaliza utata: Asema Fei Toto amekosea, mkataba hauvunjwi kienyeji vile

Ni kanjanja kweli, nilitaka kuandika hivyo pia nikamuhurumia tu, amekariri tu sheria wakati mambo hubadilika kulingana na makubaliano ya pande mbili kimkataba.
Watanzania kujifanya wataalamu kwenye kila kitu na kutukana watalaam ndio kinachoigarimu hii nchi

Mtu sio mwanasheria ila unakuta anamtukana mwanasheria mwenye CV kubwa aliyeaminika na TFF hadi kufanywa mkurugenzi Mkuu wa sheria
 
We ushaona wapi mkataba niingie mim na wewe, alafu kwenye kuuvunja uvunje pekee yako unavyojisikia bila kunishirikisha ulishaonaga wapi mfano ulaya wachezaji kibao release clause ingekua rahisi Kama unavyotaka kuaminisha watu si wangekua wanalipa release clause Yao kirahisi, usipende kuchukulia mambo kirahisi rahisi
Nyie mnapenda ligi tu, kama kilikuwepo kipengele kinachoniruhusu kuvunja mkataba nikiweka kiasi fulani cha pesa kwenye akaunti yako, hapo nikikuwekea pesa, kiustaarabu kinachofuata wewe ni kupokea pesa tu, sio kugoma.

Wanachofanya Yanga SC ni kuwazubaisha mashabiki wao, hawana support yoyote kisheria itakayowaokoa hapo, sijui kwanini mnataka Fei akaongee na Yanga kwanza wakati alichofanya ni kufuata masharti ya mkataba aliosaini, mnamuona dhaifu wakati kimsingi pande zote kimkataba huwa ziko sawa, hakuna mwenye haki juu ya mwingine.
 
Umeongea vyema na Ili uvunje mkataba lazima uongee na mwajiri wako mkubaliane, tatizo la watanzania tunapenda sana shortcut
Kuvunja Mkataba unampa tu taarifa mwajiri wako sio mkae mzungumze
 
Nyie mnapenda ligi tu, kama kilikuwepo kipengele kinachoniruhusu kuvunja mkataba nikiweka kiasi fulani cha pesa kwenye akaunti yako, hapo nikikuwekea pesa, kiustaarabu kinachofuata wewe ni kupokea pesa tu, sio kugoma.

Wanachofanya Yanga SC ni kuwazubaisha mashabiki wao, hawana support yoyote kisheria itakayowaokoa hapo, sijui kwanini mnataka Fei akaongee na Yanga kwanza wakati alichofanya ni kufuata masharti ya mkataba aliosaini, mnamuona dhaifu wakati kimsingi pande zote kimkataba huwa ziko sawa, hakuna mwenye haki juu ya mwingine.
Hujui taratibu za kuvunja mkataba unaongea kihisia, mkataba hauvunjwi kihuni
 
Watanzania kujifanya wataalamu kwenye kila kitu na kutukana watalaam ndio kinachoigarimu hii nchi

Mtu sio mwanasheria ila unakuta anamtukana mwanasheria mwenye CV kubwa aliyeaminika na TFF hadi kufanywa mkurugenzi Mkuu wa sheria
Hajui kitu huyo, kwani hakuna wanasheria wanaoshindwa kesi mahakamani?

Na wewe uko topeni, amka, mwanasheria sio Mungu.
 
Azam wana uhakika na walicho kifanya. Uto FC wamepanic... vichwa vinauma
 
Hujui taratibu za kuvunja mkataba unaongea kihisia, mkataba hauvunjwi kihuni
Kwa hiyo ili kuvunja mkataba ni lazima mkae mkubaliane, na sio kwa kufuata masharti ya vipengele vya mkataba husika?

Nyie jamaa....!!!
 
Hajui kitu huyo, kwani hakuna wanasheria wanaoshindwa kesi mahakamani?

Na wewe uko topeni, amka, mwanasheria sio Mungu.
Mwanasheria kushindwa kesi ni kuwa inatoea upande anaoutetea ndiyo una hoja dhaifu, so mwanasheria hawezi kupindisha sheria ili upande anaoutetea ushinde, ndio maana unakuta anashindwa kesi,
 
Mkataba hausitishwi kihuni hivyo lazima mwajiri wako wa kwanza umjulishe
Unataka kusema kwamba Feisal hakuijulisha Yanga? Umeiona barua ya Yanga iliyoitoa jana? Mbona imetaja waziwazi hadi tarehe ambayo Feisal aliwaandikia?
 
Kwa hiyo ili kuvunja mkataba ni lazima mkae mkubaliane, na sio kwa kufuata masharti ya vipengele vya mkataba husika?

Nyie jamaa....!!!
Huu ujinga wenu wa kuvunja mikataba kihuni ufanyeni huku ndani, Ila mkifanyia foreigner ndo yanatokea ya kukamatwa kwa ndege
 
Mechi ganiya Derby ambayo Yanga ilisusa kucheza mpaka bodi ya ligi ikabidi wasogeze ratiba mbele?
Ile mechi iliyosogezwa mbele ili kuzindua kitabu cha mwinyi? Sasa Yanga ndio wangekubali ule upuuzi kweli? Uliona wapi? Nchi gani? Yaani Yanga ingeadhibiwa kwa kugomea uhuni kama ule na ligi ingevunjika hapo hapo
 
Ndio hapo point ya gu ilipo

Huyo mwanasheria aliyeshiriki kuhalalisha lile jambo anawezaje leo kusimama kutuambia habari za sheria ya mkataba ilihali hata yeye sheria zinamshinda?
 
Attachments

  • IMG-20221225-WA0030.jpg
    IMG-20221225-WA0030.jpg
    66.7 KB · Views: 2
Taratibu zinasema kuhusu kuongeza mda wa mechi, mechi ilitakiwa ichezwe saa 10 ikapelekwa saa moja we unaona ni sawa
Huyo mwanasheria hakuljjua hilo kuwa sio sawa?

Kama anakuwa mzembe kwenye vitu vidogo kama vile anawezaje kutoa maoni kwenye ishu tata kama mkatana huu?
 
Hakuna mkamilifu hata wewe una mapungufu kibao watu wanaishi na wewe sababu wameamua kukuvumilia

Kwa kukusaidia hakuna mwanasheria ambaye hajawahi vunja sheria
 
Mwanasheria kushindwa kesi ni kuwa inatoea upande anaoutetea ndiyo una hoja dhaifu, so mwanasheria hawezi kupindisha sheria ili upande anaoutetea ushinde, ndio maana unakuta anashindwa kesi,
Ndio kama huyo mwanasheria wako nguli mwenye hoja dhaifu.
 
Back
Top Bottom