Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
-
- #121
Watanzania kujifanya wataalamu kwenye kila kitu na kutukana watalaam ndio kinachoigarimu hii nchiNi kanjanja kweli, nilitaka kuandika hivyo pia nikamuhurumia tu, amekariri tu sheria wakati mambo hubadilika kulingana na makubaliano ya pande mbili kimkataba.
Nyie mnapenda ligi tu, kama kilikuwepo kipengele kinachoniruhusu kuvunja mkataba nikiweka kiasi fulani cha pesa kwenye akaunti yako, hapo nikikuwekea pesa, kiustaarabu kinachofuata wewe ni kupokea pesa tu, sio kugoma.We ushaona wapi mkataba niingie mim na wewe, alafu kwenye kuuvunja uvunje pekee yako unavyojisikia bila kunishirikisha ulishaonaga wapi mfano ulaya wachezaji kibao release clause ingekua rahisi Kama unavyotaka kuaminisha watu si wangekua wanalipa release clause Yao kirahisi, usipende kuchukulia mambo kirahisi rahisi
Kuvunja Mkataba unampa tu taarifa mwajiri wako sio mkae mzungumzeUmeongea vyema na Ili uvunje mkataba lazima uongee na mwajiri wako mkubaliane, tatizo la watanzania tunapenda sana shortcut
Mechi ganiya Derby ambayo Yanga ilisusa kucheza mpaka bodi ya ligi ikabidi wasogeze ratiba mbele?Mechi gani!?
Hujui taratibu za kuvunja mkataba unaongea kihisia, mkataba hauvunjwi kihuniNyie mnapenda ligi tu, kama kilikuwepo kipengele kinachoniruhusu kuvunja mkataba nikiweka kiasi fulani cha pesa kwenye akaunti yako, hapo nikikuwekea pesa, kiustaarabu kinachofuata wewe ni kupokea pesa tu, sio kugoma.
Wanachofanya Yanga SC ni kuwazubaisha mashabiki wao, hawana support yoyote kisheria itakayowaokoa hapo, sijui kwanini mnataka Fei akaongee na Yanga kwanza wakati alichofanya ni kufuata masharti ya mkataba aliosaini, mnamuona dhaifu wakati kimsingi pande zote kimkataba huwa ziko sawa, hakuna mwenye haki juu ya mwingine.
Hajui kitu huyo, kwani hakuna wanasheria wanaoshindwa kesi mahakamani?Watanzania kujifanya wataalamu kwenye kila kitu na kutukana watalaam ndio kinachoigarimu hii nchi
Mtu sio mwanasheria ila unakuta anamtukana mwanasheria mwenye CV kubwa aliyeaminika na TFF hadi kufanywa mkurugenzi Mkuu wa sheria
Taratibu zinasema kuhusu kuongeza mda wa mechi, mechi ilitakiwa ichezwe saa 10 ikapelekwa saa moja we unaona ni sawaMechi ganiya Derby ambayo Yanga ilisusa kucheza mpaka bodi ya ligi ikabidi wasogeze ratiba mbele?
Kwa hiyo ili kuvunja mkataba ni lazima mkae mkubaliane, na sio kwa kufuata masharti ya vipengele vya mkataba husika?Hujui taratibu za kuvunja mkataba unaongea kihisia, mkataba hauvunjwi kihuni
Mwanasheria kushindwa kesi ni kuwa inatoea upande anaoutetea ndiyo una hoja dhaifu, so mwanasheria hawezi kupindisha sheria ili upande anaoutetea ushinde, ndio maana unakuta anashindwa kesi,Hajui kitu huyo, kwani hakuna wanasheria wanaoshindwa kesi mahakamani?
Na wewe uko topeni, amka, mwanasheria sio Mungu.
Unataka kusema kwamba Feisal hakuijulisha Yanga? Umeiona barua ya Yanga iliyoitoa jana? Mbona imetaja waziwazi hadi tarehe ambayo Feisal aliwaandikia?Mkataba hausitishwi kihuni hivyo lazima mwajiri wako wa kwanza umjulishe
Ile barua ni kuwashukuru mashabikiUnataka kusema kwamba Feisal hakuijulisha Yanga? Umeiona barua ya Yanga iliyoitoa jana? Mbona imetaja waziwazi hadi tarehe ambayo Feisal aliwaandikia?
Huu ujinga wenu wa kuvunja mikataba kihuni ufanyeni huku ndani, Ila mkifanyia foreigner ndo yanatokea ya kukamatwa kwa ndegeKwa hiyo ili kuvunja mkataba ni lazima mkae mkubaliane, na sio kwa kufuata masharti ya vipengele vya mkataba husika?
Nyie jamaa....!!!
Sijasema barua ya Feisal, nasema waraka wa Yanga kwa ummaIle barua ni kuwashukuru mashabiki
Ile mechi iliyosogezwa mbele ili kuzindua kitabu cha mwinyi? Sasa Yanga ndio wangekubali ule upuuzi kweli? Uliona wapi? Nchi gani? Yaani Yanga ingeadhibiwa kwa kugomea uhuni kama ule na ligi ingevunjika hapo hapoMechi ganiya Derby ambayo Yanga ilisusa kucheza mpaka bodi ya ligi ikabidi wasogeze ratiba mbele?
Ndio hapo point ya gu ilipoIle mechi iliyosogezwa mbele ili kuzindua kitabu cha mwinyi? Sasa Yanga ndio wangekubali ule upuuzi kweli? Uliona wapi? Nchi gani? Yaani Yanga ingeadhibiwa kwa kugomea uhuni kama ule na ligi ingevunjika hapo hapo
Sasa mwanasheria nguli kaongea na bado unabishana nae?
Huyo mwanasheria hakuljjua hilo kuwa sio sawa?Taratibu zinasema kuhusu kuongeza mda wa mechi, mechi ilitakiwa ichezwe saa 10 ikapelekwa saa moja we unaona ni sawa
Hakuna mkamilifu hata wewe una mapungufu kibao watu wanaishi na wewe sababu wameamua kukuvumiliaHuyo mwanasheria hakuljjua hilo kuwa sio sawa?
Kama anakuwa mzembe kwenye vitu vidogo kama vile anawezaje kutoa maoni kwenye ishu tata kama mkatana huu?
Ndio kama huyo mwanasheria wako nguli mwenye hoja dhaifu.Mwanasheria kushindwa kesi ni kuwa inatoea upande anaoutetea ndiyo una hoja dhaifu, so mwanasheria hawezi kupindisha sheria ili upande anaoutetea ushinde, ndio maana unakuta anashindwa kesi,