Tetesi: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Serikali ya Awamu ya Tano Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga

tafuta Mali wajukuu wapende kuishi Kwa Babu ukizeeka ,kuendelea kufuatilia ya watu yatakuangukia unapataje muda kujus makonda kafungua hiki na kile.
Lazima watu wakuambie ukweli maana mko hapa kumwombea mabaya Makonda! Lakini kwa taarifa yenu anapesana maisha makubwa ambayo nyi nyi na koo zenu hamnayo!
 
Mmmm
 
Watu wana anza kupowa machungu lakini kwa uroho wenu wa Madaraka mnatukumbusha tena huyu Maliyamungu killing machine ya Idd Amin wa Chato?

Makonda anachostahili ni kuwa jela au kunyongwa tu na si vinginevyo.
 
Jinai haifi. Kuna siku lazima atasimama kizimbani.

Kwa sasa kumsimamisha Makonda kizimbani kwa mauaji na utekaji, ni kumsimamisha marehemu kizimbani. Kufanya hivyo, kwa utawala wa sasa inahitaji ujasiri wa pekee. Lakini wakati utafika tu.
 
Afadhali jambazi anayekupiga risasi unakufa mwenyewe kuliko muuza unga anayeharibu vijana wa taifa letu milele.
Hao wauza unga, labda walikuwa washirika wake. Mbona hatukuwaona mahakamani? Unaweza kuorodhesha majina ya hao wauza unga ambao walikamatwa na kupatikana na hatia?

Ule ulikuwa ni usanii uliolenga kujipatia pesa kwa blackmailing au kweli kulikuwa na waovu?
 
Hii ndio mida ya watchmen kupost
 
Ukiwa primitive utafanya kwa namna unayosema. Lakini kwa kiongozi wa watu ni lazima ufanye kwa kuangalia matarajio ya unaiwaongoza maana mamlaka ya mwisho ni ya kwako.

Kufanya unavyotaka wewe, yaani ukitaka kuua, kuteka au kupoteza watu uwe sawa, usiwe kiongozi, ukaufanye huo uchafu kwenye familia yako, nako utafuatwa na sheria.

Tulikuwa na watu primitive sana awamu ya 5. Awamu ya 5 itabakia kwenye historia kama awamu ya uongozi wa kishetani na kijuha kuliko utawala wowote uliowahi kutokea.

Tunamwomba Mungu wetu wa rehema na haki, azidi kuwalaani wote waliondesha mauaji na dhuluma na mawakala wao dhidi ya watu wasio na hatia.
 
Endelea kupiga kelele, haziwezi kubadilisha kitu.

Muuaji ataendelea kuwa muuji hata kama hajafikishwa mahakamani. Jinai haifi. Ukiwa mwovu, Mtawala anaweza kukulinda kwa muda ambao yupo madarakani, lakini huna garentii ya kulindwa wakati wote wa maisha yako.
 
Katika uovu wote ambao mwanadamu anaweza kufanya, mauaji ndio uovu wa juu kabisa.

Mh. Lowasa hakuwahi kuua mtu, wala kumteka au kudhulumu. Huwezi kumweka kwenye kapu moja na hilo juha lenye damu za watu.

Japo Rais Samia hajachukua hatua dhidi ya mtu huyo mwovu, lakini kwa hakika hawezi kufanya kosa la kumteua hata kwenye nafasi ndogo kabisa.

Huyo anatakiwa kutoka mbele za watu, kuyatubu aliyoyatenda.
 
Kwani wanaostahili teuzi ni wale wale jamani kuna vijana wapo vizuri tu na ni wachapa kazi? Ndo maana watu wanataka upinzani nao watawale nchi sio kwamba watatuneemesha sisi raia au kutuletea maendeleo la hasha watu wanataka kubadili pattern ya ndugu na jamaa wataokuwa kwenye system ya utawala. Sio kila siku ma mtu yale yale yanahama wizara.
 
Ikawe kheri kwake.ana kipaji chake binafs cha mobilisation.
 
Kweli wewe ni mnyarwanda
 
Kama nikweli nitadharau sana usalama wa taifa milele!
Huyu mtu alitakiwa kuwa jela moja na sabaya sema kuna mkubwa mmoja anamkingia kifua kwa sababu zake binasfi!
 
Uwezo wako ni mdogo sana kwenye kufikiria. Fisadi ni mtu katili kuliko unavyofikiria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…