Lazima watu wakuambie ukweli maana mko hapa kumwombea mabaya Makonda! Lakini kwa taarifa yenu anapesana maisha makubwa ambayo nyi nyi na koo zenu hamnayo!tafuta Mali wajukuu wapende kuishi Kwa Babu ukizeeka ,kuendelea kufuatilia ya watu yatakuangukia unapataje muda kujus makonda kafungua hiki na kile.