Tetesi: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Serikali ya Awamu ya Tano Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga

mbingunikwetu hivi mpaka sasa hujachangia hii thread ya kukupigia chapuo ukaendeleze uhuni wako wa dizim?

Au ndo ww umeufungua kwa ID mpya?
 
Nenda mahakama utapata orodha yao
 
Katika makosa mama asije kufanya ni kama hili. Itampunguzia sana credibility. Nchi hii haina uhaba wa viongozi hadi alazimike 'kuishi' na wenye makandokando lukuki!
Ndoujue nchi huwa na uhaba wa viongozi.... ndomana Mbowe mpaka leo ni mwenyekiti na hachaguliwi mwingine!

Kuna jirani yetu aluwahi sema siwezi kuachia nchi mana hajamwona wakumwachia!

Hivyo hii inadjihirisha viongozi ni wachache mno!

MwakajanaIsrael imemrudisha Netanyau mwenye miaka 70+ kuwa wazir mkuu tena.... kwani huko hakuna watu wasiofaa kuwa viongozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…