Tetesi: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Serikali ya Awamu ya Tano Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga

Tetesi: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Serikali ya Awamu ya Tano Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga

Hii ni habari mpya kabisa kijana mchapakazi Paul Makonda kwa taarifa zilizopo huenda akawa RC mkoa wa Shinyanga, nadhani kijana huyu huenda anateuliwa kwa kuwa kuna maridhiano ya siasa na siasa za upinzani anazimudu ni kiongozi anayejua jinsi ya kucheza mpira na wapinzani.

Kama ni kweli namtakia kila la heri katika utumishi wake.
mbingunikwetu hivi mpaka sasa hujachangia hii thread ya kukupigia chapuo ukaendeleze uhuni wako wa dizim?

Au ndo ww umeufungua kwa ID mpya?
 
Hao wauza unga, labda walikuwa washirika wake. Mbona hatukuwaona mahakamani? Unaweza kuorodhesha majina ya hao wauza unga ambao walikamatwa na kupatikana na hatia?

Ule ulikuwa ni usanii uliolenga kujipatia pesa kwa blackmailing au kweli kulikuwa na waovu?
Nenda mahakama utapata orodha yao
 
Katika makosa mama asije kufanya ni kama hili. Itampunguzia sana credibility. Nchi hii haina uhaba wa viongozi hadi alazimike 'kuishi' na wenye makandokando lukuki!
Ndoujue nchi huwa na uhaba wa viongozi.... ndomana Mbowe mpaka leo ni mwenyekiti na hachaguliwi mwingine!

Kuna jirani yetu aluwahi sema siwezi kuachia nchi mana hajamwona wakumwachia!

Hivyo hii inadjihirisha viongozi ni wachache mno!

MwakajanaIsrael imemrudisha Netanyau mwenye miaka 70+ kuwa wazir mkuu tena.... kwani huko hakuna watu wasiofaa kuwa viongozi?
 
Back
Top Bottom