Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbingunikwetu hivi mpaka sasa hujachangia hii thread ya kukupigia chapuo ukaendeleze uhuni wako wa dizim?Hii ni habari mpya kabisa kijana mchapakazi Paul Makonda kwa taarifa zilizopo huenda akawa RC mkoa wa Shinyanga, nadhani kijana huyu huenda anateuliwa kwa kuwa kuna maridhiano ya siasa na siasa za upinzani anazimudu ni kiongozi anayejua jinsi ya kucheza mpira na wapinzani.
Kama ni kweli namtakia kila la heri katika utumishi wake.
Kama unaujua uhuni wake si uende mahakamani?mbingunikwetu hivi mpaka sasa hujachangia hii thread ya kukupigia chapuo ukaendeleze uhuni wako wa dizim?
Au ndo ww umeufungua kwa ID mpya?
Bila shaka hii ni ID nyingine ya Bwana Bashite, maana kwa unavyomtetea kwenye kila nyuzi haiwezi kuwa hivi hivi, kama ww sio Bashite basi mnatatuana marinda na BashiteKama unaujua uhuni wake si uende mahakamani?
Bila shaka hii ni ID nyingine ya Bwana Bashite, maana kwa unavyomtetea kwenye kila nyuzi haiwezi kuwa hivi hivi, kama ww sio Bashite basi mnatatuana marinda na Bashite
Nenda mahakama utapata orodha yaoHao wauza unga, labda walikuwa washirika wake. Mbona hatukuwaona mahakamani? Unaweza kuorodhesha majina ya hao wauza unga ambao walikamatwa na kupatikana na hatia?
Ule ulikuwa ni usanii uliolenga kujipatia pesa kwa blackmailing au kweli kulikuwa na waovu?
Kwan kateuliwa, hii si tetes tu! By ze way mama ateue chap rc wa shy mbona watu wako weng2 wenye sifa, aina haja ya kuchelewa chelewa,ina takiwa iwe bandika bandua.ili kaz iendelee.SHY mmepata jembe.
Ndoujue nchi huwa na uhaba wa viongozi.... ndomana Mbowe mpaka leo ni mwenyekiti na hachaguliwi mwingine!Katika makosa mama asije kufanya ni kama hili. Itampunguzia sana credibility. Nchi hii haina uhaba wa viongozi hadi alazimike 'kuishi' na wenye makandokando lukuki!
Vp kwa kuteuliwa kuwa mwenezi wa Ccm hujatembea uchi mpaka msamvu?Kwa hiyo file lake bado limepigwa mhuri sio?Natembea uchi mpaka msamvu,faili lake ikulu limepigwa muhuri mwekundu