Hakika hizi ni habari njema haswa kama huyo Bwana amekuwa nje ya ajira kwa kipindi chote hicho bila shaka hizi ni habari za matumaini kwake na familia.
Basi na akawe mchapa kazi ili anayempa ajira aone kuwa hajakosea.
Ikiwa ni kweli huenda kuna Mtu kwa Makusudi anataka na anapenda Kudharaulika na Watanzania Wote.
ππππdaah! Miss you.Upo mkuu?Usiogope babe... nipo hapa hakuna wa kukutisha japokuwa hunitaki nitakupambania hivyohivyo β€
Huu ndiyo ukweli!!Mama Samia hawezi asilani kufanya uteuzi wa kumdhalilisha Rais mwenyewe, Rais Samia sio mtu wa kufanya teuzi za ajabu hivyo na kamwe haiwezi tokea kwa Mama yetu, Mama Samia kajenga Imani na upendo mkubwa kwa wananchi tayari kwa muda mfupi sana, alafu alete mtu wa hovyo hovyo kama Makonda, hilo halipo na watanzania tunaona hilo halipo. Muda wa watu wa hovyo ushapita
Majibu mengine hamna zaidi ya hiliNyinyi kina nani?! πππ
Ofcourse huenda muhuni aliwekaga kipindi mama anajitafuta, au alisapoti tu harakati.Likifanyika hilo ndio nitaamini tetesi kuwa jamaa aliwahi kula mzigo
ApiaNatembea uchi mpaka msamvu,faili lake ikulu limepigwa muhuri mwekundu
Oh oh oh oh. Hapa ndipo naona ukubwa wa Jf sasaOfcourse huenda muhuni aliwekaga kipindi mama anajitafuta, au alisapoti tu harakati.
Hujanimiss unadanganya bana πππππdaah! Miss you.Upo mkuu?
Ko unataka nifanyaje ili uamini...eti? πHujanimiss unadanganya bana π
Unataka kujitia wewe mtoto wa kikwete au unatoka familia ya Kikwete?! ππππMajibu mengine hamna zaidi ya hili
Ahh! Haya bana... mie sina cha kusemaπKo unataka nifanyaje ili uamini...eti? π
Ha ha ha ha unanichimba sijachimbika, mkwere yupo mmoja tu Tanzania.Unataka kujitia wewe mtoto wa kikwete au unatoka familia ya Kikwete?! ππππ
Fala wewe! Hebu kajifunze Forex huko au kawe dalali upate hela usogeze maisha yako acha Ukalagabaho
Morena nyuma ya jumba la mawe,Utafikia F2? StarPark? Au Terminal?
Sawa Chawa wa PauloHii ni habar mpya kabisa kijana mchapakazi paul makonda kwa taarifa zilizopo huenda akawa RC mkoa wa shinyanga, nadhani kijana huyu huenda anateuliwa kwa kuwa kunamaridhiano ya siasa na siasa za upinzani anazimudu ni kiongozi anayejuwa jinsi ya kucheza mpira na wapinzani.
Kama ni kweli namtakia kila la heri katika utumishi wake.
Mtu pekee?Acha wivu wewe kama unamchukia kwa chuki binafsi ni wewe
Makonda ndie mtu pekee anayeweza kuhimili moto wawapinzani wanaokwenda kuuwasha