Tetesi: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Serikali ya Awamu ya Tano Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga

Tetesi: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Serikali ya Awamu ya Tano Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga

Hakika hizi ni habari njema haswa kama huyo Bwana amekuwa nje ya ajira kwa kipindi chote hicho bila shaka hizi ni habari za matumaini kwake na familia.

Basi na akawe mchapa kazi ili anayempa ajira aone kuwa hajakosea.

Naunga Mkono hoja Ateuliwe Akafanye Maendeleo Shy Town!
MUNGU hasimami na wafanya Visasi…Kisasi ni Cha MUNGU kama kipo!
Ndio Maana Nilikuwa Nampenda Magu…
Akitaka Kufanya Jambo haangalii Usoni eti nani atasema nini,Naani atamuudhi akiamua kufanya anafanya tuu Over…
 
Mama Samia hawezi asilani kufanya uteuzi wa kumdhalilisha Rais mwenyewe, Rais Samia sio mtu wa kufanya teuzi za ajabu hivyo na kamwe haiwezi tokea kwa Mama yetu, Mama Samia kajenga Imani na upendo mkubwa kwa wananchi tayari kwa muda mfupi sana, alafu alete mtu wa hovyo hovyo kama Makonda, hilo halipo na watanzania tunaona hilo halipo. Muda wa watu wa hovyo ushapita
Huu ndiyo ukweli!!
 
Majibu mengine hamna zaidi ya hili
Unataka kujitia wewe mtoto wa kikwete au unatoka familia ya Kikwete?! 😂😂😂😂

Fala wewe! Hebu kajifunze Forex huko au kawe dalali upate hela usogeze maisha yako acha Ukalagabaho
 
Hii ni habar mpya kabisa kijana mchapakazi paul makonda kwa taarifa zilizopo huenda akawa RC mkoa wa shinyanga, nadhani kijana huyu huenda anateuliwa kwa kuwa kunamaridhiano ya siasa na siasa za upinzani anazimudu ni kiongozi anayejuwa jinsi ya kucheza mpira na wapinzani.

Kama ni kweli namtakia kila la heri katika utumishi wake.
Sawa Chawa wa Paulo
 
Back
Top Bottom