Hakika hizi ni habari njema haswa kama huyo Bwana amekuwa nje ya ajira kwa kipindi chote hicho bila shaka hizi ni habari za matumaini kwake na familia.
Basi na akawe mchapa kazi ili anayempa ajira aone kuwa hajakosea.
Naunga Mkono hoja Ateuliwe Akafanye Maendeleo Shy Town!
MUNGU hasimami na wafanya Visasi…Kisasi ni Cha MUNGU kama kipo!
Ndio Maana Nilikuwa Nampenda Magu…
Akitaka Kufanya Jambo haangalii Usoni eti nani atasema nini,Naani atamuudhi akiamua kufanya anafanya tuu Over…