TANZIA Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brig. Jen Mstaafu Emmanuel Maganga afariki Dunia

TANZIA Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brig. Jen Mstaafu Emmanuel Maganga afariki Dunia

Alikua mtu poa

Alifanya kaZi ngumu lakini nzuri
 
Poleni Ndugu ,Jamaa na marafiki.

Kila siku tunasema kuanzia Dec 2020 idadi ya taarifa za vifo vimeongezeka sana ,hawa ni watu maarufu ila ukitaka kujua wa mitaani angalia kwenye mitandao ya kijamii.

Kwanini tuangalie mitandao ya kijamii kuhusu wanao kufa mitaani?
Kwa sababu wewe uko mtaani ningependa kwa kuutumia mtaa wako kama mfano halisi utoe ushahidi jinsi mnavyozika watu kila siku sababu ya corona na sio kusema Mambo ya mitandao ya kijamii !

Twambie mtaani kwako kwa Siku mnazika watu wa ngapi?

Ndugu, jamaa , marafiki zako waliokufa kwA corona tuoneshe hizo data usiseme mitandao ya kijamii
 
Nimonia tu hiyo tumwombe mungu ametusikiliza hamna Corona.
 
Hizi ni akili mbovu kuliko, subiri kwenu wafe ndio utaelewa. Sijui watanzania wamelishwa nini?

Wewe kwenu wamekufa wangapi tatizo watz wengi tunafuata mikumbo na mihemuko !!
Sikatai corona ipo Ila nambie kwenu, mtaani , ndg zako wamekufa wangapi?
Na unataka serikali ifanyeje ?
Mnataka muanze wimbo wa lockdown Tena ?
 
Kwanini tuangalie mitandao ya kijamii kuhusu wanao kufa mitaani?
Kwa sababu wewe uko mtaani ningependa kwa kuutumia mtaa wako kama mfano halisi utoe ushahidi jinsi mnavyozika watu kila siku sababu ya corona na sio kusema Mambo ya mitandao ya kijamii !

Twambie mtaani kwako kwa Siku mnazika watu wa ngapi?

Ndugu, jamaa , marafiki zako waliokufa kwA corona tuoneshe hizo data usiseme mitandao ya kijamii
Hivyo vifo vya mitandaoni kwani hawaishi mtaani mkuu
 
Back
Top Bottom