Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuokoka ni kumwamini Bwana Yesu na kumpa maisha yako, sio kutokufa.Duuh vifo kila kona,Mungu tuokoe.....
legendAliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig.Jen Mstaafu Emmanuel Maganga amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Milambo Mkoani Tabora usiku huu.
View attachment 1682982
#RIPMaganga
He warned people against Corona, it has taken his life
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig.Jen Mstaafu Emmanuel Maganga amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Milambo Mkoani Tabora usiku huu.
View attachment 1682982
#RIPMaganga
Vingine inawezekana ni pandemic ooohKuokoka ni kumwamini Bwana Yesu na kumpa maisha yako, sio kutokufa.
Kufa kuko palepale. Adamu alikufa. mwanawaAdamu naye lazima afe!!!!
hakika Yesu ni Mwokozi.
Kvp?Corona itatumaliza
Poleni Ndugu ,Jamaa na marafiki.
Kila siku tunasema kuanzia Dec 2020 idadi ya taarifa za vifo vimeongezeka sana ,hawa ni watu maarufu ila ukitaka kujua wa mitaani angalia kwenye mitandao ya kijamii.
Nyungu mazeeeDipotivo ni hatari.
Taratibu ni zile zile. Vaa barakoa, nawa maji tiririka, epuka mikusanyano isiyo na lazima...
Tumia "SANTAIZA".
Inavyoonekana kabla ya corona ilikuwa tz hajawahi kufa maarufu.
Watu bhana!!!,hivi tayari mna majibu ya sababu ya kifo chake!!!.
Mbele yake nyuma yake.Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig.Jen Mstaafu Emmanuel Maganga amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Milambo Mkoani Tabora usiku huu.
View attachment 1682982
#RIPMaganga
Hizi ni akili mbovu kuliko, subiri kwenu wafe ndio utaelewa. Sijui watanzania wamelishwa nini?
Hivyo vifo vya mitandaoni kwani hawaishi mtaani mkuuKwanini tuangalie mitandao ya kijamii kuhusu wanao kufa mitaani?
Kwa sababu wewe uko mtaani ningependa kwa kuutumia mtaa wako kama mfano halisi utoe ushahidi jinsi mnavyozika watu kila siku sababu ya corona na sio kusema Mambo ya mitandao ya kijamii !
Twambie mtaani kwako kwa Siku mnazika watu wa ngapi?
Ndugu, jamaa , marafiki zako waliokufa kwA corona tuoneshe hizo data usiseme mitandao ya kijamii