TANZIA Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo afariki Dunia

Duh unataka watu waishi kilofa mzee
Kuwa na magari ni kosa au kujipenda

Ova
 
..binafsi sijaridhishwa na jinsi Salim Salim na Joseph Warioba kushindwa kupaza sauti wakati haki na utawala bora vikienda mrama.

Yes, correct. Nimelisema hilo miaka 20 na zaidi. Salim Ahmed Salim is an over-rated, good-for-nothing douche bag who rode on Julius Nyerere's diplomatic coattails.

Muondoe Sinde Warioba kwenye sentensi moja na Salim Ahmed Salim, tema mate chini, na ututake radhi. Sinde Warioba is a towering royalty in the pantheon of greatest patriots down the history of this country. Aliweka pensheni yake rehani na mwili wake na heshima zake, akakataa uchawa kwa watawala, akamvimbia Pombe Magufuli na Jakaya Kikwete japo walimpa cheo na ulaji wa kuongoza tume ya katiba ya watu. Every man has a price, there wasn't enough money in the country to buy Sinde Warioaba. True icon.




Lakini hapa sikutaka kuwatumia statesmen kama Warioba kuwapima mabalozi wastaafu na ma douche bags. Nimewalinganisha na the least common denominator ili kuonyesha jinsi mabalozi na wastaafu walivyo madebe matupu, empty suits. Good for nothing!

Unaposema kila mtu anafanya uzalendo kwa nafasi yake, okay, balozi mstaafu ni raia huru kama hawa raia wa kawaida, amefanya nini kwenye nafasi yake? Tuna ma existential crisis, matatizo meeengi yanayohitaji kusemewa, kukemewa, kuchambuliwa. Unashindwaje advocacy and patriotism na Abdul Nondo mtoto wa chuo, of all the people ?


1961 Salim Ahmed Salim anateuliwa na Karume kuwa balozi Havana. 1964 anateuliwa na Nyerere kuwa balozi Cairo. Pombe Magufuli, aliyezaliwa 1959, alikuwa kichanga kinanyonya in 1961 wakati Salim anakaa meza moja na Fidel Castro ku present credentials and proposals za Julius Nyerere kwa matatizo ya dunia, leo unamwogopa Magufuli. Abdul Nondo hamwogopi! Grow some freaking balls, will you ?

Ndo maana unaposema Balozi Lukindo ni mzalendo makini, balozi Nhigula, everybody is like Balozi whoooo ? Nobody knows those yokels. Mtoto wa shule Abdul Nondo amefanya mengi ya kuisemea na kupigania nchi yake kuliko mabalozi wetu down the tortured history of this country, all combined!


 
TAARIFA KWA UMMA

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amepelekwa hospitali akiugua maradhi ya kifua. Anaendelea kupata matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari.

Kutokana na ushauri wa madaktari wake, familia imeona ni vyema apate faragha akiwa anapatiwa matibabu. Hivyo Familia inaiomba jamii kumkumbuka kwenye Dua, Sala, na Maombi.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu amjaalie shifaa ya haraka Mzee wetu pamoja na wagonjwa wengine wote wanaokabiliwa na maradhi mbali mbali.

Abdullah Ali Mwinyi
Msemaji wa Familia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kulikuwaga na member flani humu anajiita lukindo alikuwa na avatar picha flani ya ndege. Alikuwaga very active akapotea ghafla ni mda sasa, inaonekana alibadilisha jina ya id na avatar picha.
Labda ni yeye
 
Inaonekana ni wahamiaji wakongwe kama akina Mhando wapo Tanga na ubenani, akina Mgaya wapo Tanga na ubenani pia
Na kimwaga pia, tanga na unyamwezini. Hawa waliletwa na wakoloni kama manamba wa kulima mkonge
 
Eti ' Nyerere nataka kurudi kijijini' πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ .
 
Uhuru ni wa mtu binafsi. Hiyo dini ni uhuru wa mtu kuifata au kutoifata. Hiyo Sio sheria ya nchi.

Sawaa, lakini katika dini(Uisilamu) hilo halipo, sema kuna baadhi ya waislamu hawaelewi, Mtu anajiita muislamu hata kutamka tu Innaa lillaahi wainnaa ilaihi raaji'un hajui.

Tusome dini jamani
 

..Sinde Warioba amekuwa akisema, but I think he has also been too soft kwa watawala. Kwa mfano, sikumuelewa aliposimama ktk jukwaa na kumpigia kampeni Magufuli.

..Salim Salim kama alishindwa kujipigania mwenyewe alipodhalilishwa na wana mtandao usitegemee akapigania wananchi wanaonyanyaswa na kuonewa na Ccm.

..Hisia zako kuhusu hawa wazee nazielewa na hauko peke yako ktk hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…