Aliyekuwa Mrakibu wa Polisi, Kinondoni akata rufaa dhidi ya hukumu yake ya kunyongwa hadi kufa

Aliyekuwa Mrakibu wa Polisi, Kinondoni akata rufaa dhidi ya hukumu yake ya kunyongwa hadi kufa

Na hii yote aliisababisha Mwapachu kwa kauli yake ya kuruhusi 'Majambazi' kuuawa on the spot, na watu wakatahadharisha polisi kutumia vibaya kauli, ilikuwa mwaka 2006 nakumbuka.
 
Katika hii kesi kuna dogo mmoja polisi ambae alikufa katika mazingira ya kutatanisha. Alieleza ukweli kabla hajafia gerezani. Dogo mmoja mchagga nasahau jina. Naona nafsi na imani yake ya kidini vilikua vinamsuta

Alifia ocean road kama sikosei
 
ninatanguliza pole zangu kwa ndugu na familia za wafanya biashara hao waliopoteza maisha yao kinyama mno ,familia hizi zinaishi bila wapendwa wao na bread winners wao its tough life;ILA kwa upande wa pili wa adhabu hii ya KIFO,hivi ikitekelezwa itaifanya familia za waliouawa kuwa happy?,je utarudisha uhai wa ndugu zao?,je na familia za waliohukumiwa kifo zitakuwa ni familia bora zaidi?je kunyongwa hadi kufa kwa mtuhumiwa kutaleta better closure kwa wanandugu waliopoteza ndugu zao?,binafsi ninachukia adhabu hii ya kifo,ni adhabu inayoonyesha kuwa bado tunaishi maisha very primitive,na adhabu hii sio kuwa unafanya watu waogope kutenda kosa la kuuwa eti na wao watauliwa.ni wakati sasa Tanzania ifute hii adhabu ya kifo maana haina faida yeyote kwa jamii.
Sema kuna mambo mengine yanasikitisha sana....Angalia au fuatilia case hii uone watu walivyowakatili
 
The world is not Fair.

Anayeua auawe tu
Tafiti za adhabu ya kifo zinasemaje?

Studies zinaonesha kwamba leading criminologists (crime experts) overwhelmingly do not believe the death penalty is an effective deterrent to crime. Huu ni ukweli; murder rates katika nchi zilizo na capital punishment aren’t necessarily lower than zile za nchi zisizo na capital punishment!
Hii ya kulinganisha rate of crimes kwa nchi zinazotekeleza adhabu ya kifo cha wingi na zile zimazotekeleza kwa uchache na kisha kuweka hitimisho, sio sahihi sana, ni kweli, kwa mfano Marekani ni moja ya nchi zinazotkeleza kwa wingi adhabu ya kunyonga, tena wao hawanyongi, wana kiti cha umeme, lakini uharifu wa mauaji ni mkubwa zaidi ukilinganisha na nchi zingine.. Hii siyo hoja..

Wingi wa uharifu unatofautiana nchi na nchi kutokana na nature ya nchi husika na sababu nyingine nyingi, Pulchra Animo unataka kusema kuwa Marekani ikiondoa adhabu ya kifo kwenye sheria zake uharifu utapungua? Not likely!!

Wewe unapendekeza nini badala ya adhabu ya kifo? kifungo tu basi?!
 
Mh hiyo kesi ilisikitisha sana kwanza mashahidi walikua wengi mpaka wakapunguzwa kwa sababu ushahidi wengine ulikua unafanana cha ajabu Zombe hakupatikana na hatia...ila police wengine walioachiwa kwa kesi hiyo nao walitangulia mbele ya haki hata yule Mwanamke pekee pia alishafariki...
Mmh nani aliwaua mkuu???
 
ninatanguliza pole zangu kwa ndugu na familia za wafanya biashara hao waliopoteza maisha yao kinyama mno ,familia hizi zinaishi bila wapendwa wao na bread winners wao its tough life;ILA kwa upande wa pili wa adhabu hii ya KIFO,hivi ikitekelezwa itaifanya familia za waliouawa kuwa happy?,je utarudisha uhai wa ndugu zao?,je na familia za waliohukumiwa kifo zitakuwa ni familia bora zaidi?je kunyongwa hadi kufa kwa mtuhumiwa kutaleta better closure kwa wanandugu waliopoteza ndugu zao?,binafsi ninachukia adhabu hii ya kifo,ni adhabu inayoonyesha kuwa bado tunaishi maisha very primitive,na adhabu hii sio kuwa unafanya watu waogope kutenda kosa la kuuwa eti na wao watauliwa.ni wakati sasa Tanzania ifute hii adhabu ya kifo maana haina faida yeyote kwa jamii.
Una hoja lakini umeshindwa kuijenga. Kusema kuwa ''hata kama muuaji akinyongwa, roho ya aliyeuawa hairudi au familia yake iliyobaki haitokuwa na maisha bora zaidi'' ni sababu mbovu sana isiyo na mashiko. Kwa taarifa yako ni kuwa adhabu huwa zinatolewa ili mkosaji apate adhabu ya alichofanya na kuwafanya raia wengine waache kutenda makosa. Na kusema kuwa mbona adhabu haifanyi watu waache kuua nako unaweza usiwe sahihi. Je hujui pengine isingekuwepo basi ni watu wengi zaidi wangekuwa wanaua kuliko ilivyo sasa? All in all, adhabu ya kifo hata mimi naipinga kwani ni vigumu sana kuwa na hukumu ya halali. Kila mtu anauwa katika mazingira tofauti na sababu tofauti hivyo kunyonga kunaadhibu wengine ambao hawakustahili na kama ulivyosema ni very primitive.
 
Naomba ni-declare interest kwamba niliwahi kufanya kazi Jeshi la Polisi tena Kikosi hicho hicho cha kupambana na majambazi na mpaka naacha kazi nilikuwa hapo hapo Oysterbay,na askari wote waliokumbwa na kesi ninawafahamu maana nilifanya nao kazi,hukumu ya Jaji Kipenka ya kuwaachia huru watuhumiwa wote ilikuwa sahihi maana askari aliyewafyatulia wale marehemu hakuwahi kukamatwa mpaka leo!! wengine wote walirudisha silaha zao Armory zikiwa na risasi kamili kama walivyochukua isipokuwa huyo mmoja,ndio maana Jaji Kipenka wakati anawaachia huru watuhumiwa alisema kabisa "MLETENI MTUHUMIWA ALIYEUA MAANA YEYE NDIE ALIRUDISHA SILAHA IKIWA HAINA RISASI"kwa hiyo naamini hili Jopo la Majaji wa Mahakamani ya Rufaa nitamuachia huru Christopher Bageni maana hakufyatua risasi hata moja kuua marehemu
Duuh balaa sana... Sasa why Bageni ahukumiwe kunyongwa au yeye ndo alitoa amri jamaa wauliwee??
 
Huyu nadhani alifanya kazi ya ziada kuchomoa, ingekuwa utawala huu nadhani angekuwa ananyea ndoo
Huu utawala unaujua vizuri au unaongea tu? Huyo Zombe si alikuwa polisi au? Mkuu alipendekeza polisi asishtakiwe kwa jambo lolote atakalofanya akiwa katika kutimiza majukumu yake!
 
ninatanguliza pole zangu kwa ndugu na familia za wafanya biashara hao waliopoteza maisha yao kinyama mno ,familia hizi zinaishi bila wapendwa wao na bread winners wao its tough life;ILA kwa upande wa pili wa adhabu hii ya KIFO,hivi ikitekelezwa itaifanya familia za waliouawa kuwa happy?,je utarudisha uhai wa ndugu zao?,je na familia za waliohukumiwa kifo zitakuwa ni familia bora zaidi?je kunyongwa hadi kufa kwa mtuhumiwa kutaleta better closure kwa wanandugu waliopoteza ndugu zao?,binafsi ninachukia adhabu hii ya kifo,ni adhabu inayoonyesha kuwa bado tunaishi maisha very primitive,na adhabu hii sio kuwa unafanya watu waogope kutenda kosa la kuuwa eti na wao watauliwa.ni wakati sasa Tanzania ifute hii adhabu ya kifo maana haina faida yeyote kwa jamii.
Hujahitimisha vzr baada ya kufuta adhabu hiyo nn kifanyike,ama adhabu gani ingefaa zaidi nk
 
Nikurekebishe kidogo ni kwamba baada ya zombe and Co kutekeleza hilo tukio mwanzo kabisa ilijulikana wale wafanya biashara walikuwa majambazi hvyo askar wote waliokuwa zamu hyo siku walirudisha silaha zao salama bila tatzo ila sekeseke likaanza siku tatu au nne baada ya tukio baada ya baadhi ya wananchi Ku rise hoja kwamba wale hawakuwa majambazi Bali wafanyabiashara, na ndipo wakaamuliwa askar wote waliokuwa zamu wakamatwe na kuwekwa mahabusu huku tume ya uchunguzi ya Kipenka ikienderea .. Hapo ndipo yule askar aliyefyatua risas akapata mwanya Wa kutokomea mpaka Leo hii
Sasa huyo jamaa alikuwa ajulikani au??
 
Back
Top Bottom